Udereva Serikalini unalipa au una faida?

Makiwendo

JF-Expert Member
Aug 12, 2015
3,358
2,000
Ukiwa dereva wa bosi anayesafiri mara kwa mara unakula per diem za kutosha, hapo bado bakishishi ya mafuta na marekebisho ya hapa na pale (sio ya TEMESA)
Hapo anafaidi Per diem tu.. Mafuta yenyewe siku hizi wanenda GPSA...wanapaita kisimani..
 

Makiwendo

JF-Expert Member
Aug 12, 2015
3,358
2,000
Mkuu zile pesa za mafuta ya njiani, kwa mfan umeenda Mwanza Kukagua miradi GPSA haihusiki
Inahusika Boss.. Serikali siku hizi mambo yao wanaendesha wanavyojua wao..

Kinachofanyika gari itajazwa mafuta Kwa umbali unaoenda.. Kama ni Dar hadi Mwanza..

Utajaziwa fomu ya kuchukua mafuta lita nyingine GPSA Mwanza.. Na mafuta ya ziada kwa siku Dreva anapokuwa huko. Kumbuka hiyo ni pool ya serikali.. Fedha zilishalipwa GPSA tayari.. Ni kujaza mafuta tu.

Siku hizi hakuna mambo ya Imprest za mafuta tena.. Ikitokea ni nadra sana.. tena kwa maelezo marefu..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom