Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,052
- 12,906
Kisema na former and current citizen one samesame shida iko wapi? Ukawa waliwahi kusema mkawapuuza leo vipi?Serikali ifanye haraka sana kumpata muwekezaji mwingine mwenye uwezo wa kifedha. Asiwe kama yule mbabaishaji Kisena.
Ushauri mzuri sana huu kwa Juma Kapuya, Idd Simba na Robert Simon Kisena ambao wana shares nyingi kwenye UDA. Serikalinikianza kufukua makaburi ya namna walivyouziana kihuni jii kamluni nadhani hapatatosha. JIWE hajaribiwi sometimes.UDART futeni hiyo kesi! Itawagharimu sana na itafukua makaburi ya ufisadi! Tumieni huo ushindani waujio wa mwekezaji mpya kama fursa kwenu kwa kuboresha huduma za usafiri mzitoazo jijini!
Bandari hawawezi kuzuia magari kama mjusika amelipa kodi stahiki. Je hayo magari yamelipiwa kodi na ushuru WOTE unaotakiwa?udart waliagiza magari mapya zaidi 70 yamezuiliwa mpaka leo bandarini halafu kmbka eneo la ofisi na parking zao waliopewa na Serikali pale Jangwani mvua zimeshaharibu magari zaidi ya 20 kwa Mara mbili
Then kampuni ya bima imegomea kukava gharama za kutengeneza magari sababu wanaona magari kuhifadhiwa eneo kama Jangwani ni kujitakia
Ndo kusudio lao hapo, kama vile mke mkubwa kumkataa mke mdogo ndani ya nyumbaKwa hiyo hawataki mwekezaji mwingine ashindane nae?
ata serikali ni wapigaji yani ,hapa tunasema wahuni wamezurumiana.Wapigaji wanaishtaki serikali Duh
Ngoja Tuone Ngoma ya mpush kwa mpush
Ova
Wamekutana wenyewe kwa wenyewe....ata serikali ni wapigaji yani ,hapa tunasema wahuni wamezurumiana.
Wamesahau hii ni serikali ya Ngosha,wanataka kushindana na NgoshaUDART futeni hiyo kesi! Itawagharimu sana na itafukua makaburi ya ufisadi! Tumieni huo ushindani waujio wa mwekezaji mpya kama fursa kwenu kwa kuboresha huduma za usafiri mzitoazo jijini!
Nadhani Bima wapo sahihi kutolipaudart waliagiza magari mapya zaidi 70 yamezuiliwa mpaka leo bandarini halafu kmbka eneo la ofisi na parking zao waliopewa na Serikali pale Jangwani mvua zimeshaharibu magari zaidi ya 20 kwa Mara mbili
Then kampuni ya bima imegomea kukava gharama za kutengeneza magari sababu wanaona magari kuhifadhiwa eneo kama Jangwani ni kujitakia
Ni haki yao maana nyie Serikali mnataka kufanya kila kitu siasa acha mburuzwe mahakamaniSiku chache baada ya Serikali kutangaza kupata mwekezaji wa pili wa Mradi wa Usafiri wa Mabasi yaendayo haraka Dar Es Salaam (DART), mwendeshaji wa kwanza wa mradi huo, Kampuni ya Uda-Rapid Transit (UDART) ametua mahakamani na kuishitaki Serikali. [HASHTAG]#Mtanzania[/HASHTAG]