AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,651
- 4,758
nina imani wengi wetu tumepitia situation kwenye mitihani ya taifa au chuo(ue)...mambo yanakuwa magumu kiasi kwamba huna namna zaidi ya msaada lazima uigilizie...
japo kuna walim wengine ni hatari...unakuta kwenye chumba kimoja cha mtihani mnapewa aina tofauti za mitihani...yaani wa kulia kwako au kushoto kwako ana pepa tofauti...
wengine tunaingia na nondo na kuchomoka katika mazingira ya kutatanisha...unaokoka...
wengine tunashikwa...unadisco...
maisha ya shule ni mtihani sana...
hebu tupeane mbinu za kuchomoka kwenye pepa katika hali ngumu...uliwezaje kula majibu ya mtihani hali huna kichwani...
ujanja ujanjaa...