Asante jamani, nilipotea kweli ila badae nikapata mwenyeji pale eee! Toto la kitanga kama jarabu likanifikishia kwao alafu likanisakizia mie ndio nililo lipa ujauzito, si ndo ukaletwa ubani tukafungishwa ndoa papo hapo, tumepewa na kiwanja cha kuanzia maisha na nimeambiwa nikijaribu kuondoka TNG mimba itahamia kwangu
Kha ha ha ha ha ha haaaa!!
Duh!!!!!!!
CC😡Pakajimmy;
Preta;
Lily Flower
;
Blaki Womani;
Filipo;
Arushaone;
Na yule Anonimus wote hebu kujeni kipande hii kila mmoja na kanusho la huyu Baba V;
kuna wa kukanusha basi? Mkuu Liverpool fc we acha tu
Kwanza nice to meet you Baba V.
Hakuna kitu km hicho kabisa, kule kwenye mapango mambo hayo huwez fanya i see unaweza shangaa sehemu muhimu zimetoweka ghafla. Mungi naomba uje unisafishe i see, sijawah kuwa na kashfa,mi mtu safi sana hata babu Dark City anajua, au nikuchongee kwa Lily Flower?
Ni udaku tu mdogo wangu...wala usiwe na shaka,
Imani ya babu kwako ni zaidi ya 100%
Cc: KOKUTONA, Mungi, Lily Flower!!
Sijui ilikuaje hapa Arushaone na Madame BBaba V; Nakwambia huyu member ni mwaminifu sana na lazima aje adhibitishe hili ama akanushe Lily Flower; Hebu amka zungukia huku kabla hii uzi hajanoga!!!! Kha ha ha ha ha haaaaa!!!!