UDAKU :2013 Reloaded!!

Afu dogo mwaka huu lazima tukakupime ngoma na gitaa hata kwa viboko

Yeeah! I'm willing and able mkuu Baba V. Wewe tu na madaktari wako. Ukikuta niko NEGATIVE unalipa fidia ya kunidhalalisha na wake zangu wa TANGA.
 
Last edited by a moderator:
......bora basi hata angekuja jukwaani kutueleza nini kumetokea kuliko kukaa kimya.
na kama Zawadi zetu amelipia Kodi ya Nyumba au Kaenda kumlipia mwanae Ada ya Shule........, ajiandae kwenda Ukuta Mrefu.

Ruhazwe JR tafadhali sema neno moja tu na roho zetu zitapona!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahahaha
huu ukweli ni udaku!
 
Last edited by a moderator:

........Inasemekana Madame B alihonga penzi kwa Ruhazwe JR ili awe mshindi wa ule mpambano.
....... Pia kuna tetesi kuwa Ruhazwe JR anamzungusha charminglady akiwa na lengo maalumu la kumwingiza kingi huyu Mrembo kabla ya kumpatia zawadi zake.

Ngoja niingie kazini kusaka ukweli kisha nitarejea.
 
Udaku toleo la kwanza ndio lilikuwa funiko haijapata kutokea duniani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…