UDAKU :2013 Reloaded!!

Muandaaji wa Miss Chit chat Mr. Lundenga a.k.a RUHazwe na mpambe wake wakutwa wamelewa chakari baada ya kutokomea na Zawadi za washiriki

 
Last edited by a moderator:
Muandaaji wa Miss Chit chat Mr. Lundenga a.k.a RUHazwe na mpambe wake wakutwa wamelewa chakari baada ya kutokomea na Zawadi za washiriki


Haya weee, huyo aloangusha gari huyo duh!! wameamua kujipa wenyewe zawadi!??
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 na TANMO mnasemaje?
mi nipo na teja huku sihitaji maneno matamu mengine, mtanifanya nizimie mwana wa mwenzenu utamu ukizidi, lol!
happy new year kwa mpigo
 
Last edited by a moderator:

Teh.... Mning'inio wa x-mass ni noumer mpk sasa bado unao.... :becky: :becky:
 
Last edited by a moderator:
Umerudi Mrembo?
Hebu jibu fasta hiyo habari ya Bishanga kabla Gazeti halijaingia mitamboni...

Nimerudi Sweetie wangu TANMO,
Nilikumisije thatha!!!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mimi nilikumisi mpaka nikawa nalala na picha yako.
ila hii habari ya saiz 14 ni ya ukweli?

Picha ipi sasa kati ya zile 5???
Afu Hapo pa Bold Bado sijakuelewa Wangu wa moyoni TANMO.
 
Last edited by a moderator:
We muache tu!!!!!!!!

......bora basi hata angekuja jukwaani kutueleza nini kumetokea kuliko kukaa kimya.
na kama Zawadi zetu amelipia Kodi ya Nyumba au Kaenda kumlipia mwanae Ada ya Shule........, ajiandae kwenda Ukuta Mrefu.
 
Picha ipi sasa kati ya zile 5???
Afu Hapo pa Bold Bado sijakuelewa Wangu wa moyoni TANMO.

Ile moja ulipiga kiupande upande huku umegeuza kichwa kumtazama mpicha piga na mikono ikichezea nywele. Halafu ulikuwa umevaa ".............." si umeikumbuka?

Hapo kwenye Bold naomba kunukuu ili kuweka kumbukumbu sawa:
-@chimbuVu ampindua kizazi Madame B,kalazwa kwa kairuki,chezeiya wewe niniliyu size 14
 
......bora basi hata angekuja jukwaani kutueleza nini kumetokea kuliko kukaa kimya.
na kama Zawadi zetu amelipia Kodi ya Nyumba au Kaenda kumlipia mwanae Ada ya Shule........, ajiandae kwenda Ukuta Mrefu.

Mrudie kule mapangoni ukaweke nadhiri...
 
Hahahahahahaaa hujui kanokia cha tochi kinalipa?
Eti Lizzy kufunga ndoa na Bishanga lol
Ndoto hizi bhana.
Badili location kwanza uweke Unga Ltd
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…