Yo Yo wakati nasoma huu uzi wako nilijisikia kama tumbo linavurujika....kutapika fulani hivi, Tafifti nyingine hazikubaliki kwenye jamii hususani tamaduni za kiafrika...:nimekataa:doh:
magonjwa mengine una dawa yake hapo hapo ujui tu.....huu ni ushauri wa ma dr bingwa waliobobe.......muangalia waliekuwa waziri mkuu wa italy silvio berlusconi akitafuta kamasi kuweka afya yake safi....