Brain Kingdom
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 7,004
- 14,551
Maneno yasiwe mengi ebu tuumize akili shusheni majibu tafadhari
Ukisikia mwili wa John umezikwa tambua aliyezikwa sio John chief ni mwili. John yupo.Maneno yasiwe mengi ebu tuumize akili shusheni majibu tafadhari
Fanya kilichokuleta duniani. Kula kulala .mengine yaache kama yalivyoManeno yasiwe mengi ebu tuumize akili shusheni majibu tafadhari
Japo ipo hivyo ila bado tunatafiti 🤔Hakuna sehemu panaitwa mbinguni ni kauli tu za kwenye maandiko yaliyo andikwa na binadamu kama wewe ndio yanadai Kuna mbingu
Ninachojua tu kuwa tuna mtu aliyenauwezo MKUBWA ndio aliyetuanzisha sisi Kwa kujenga Kila kitu ila alipo ndio sipajuiManeno yasiwe mengi ebu tuumize akili shusheni majibu tafadhari
Tatizo ni hakuna aliyewahi kwenda na akarudi akaleta ushahidi kuwa alikuwa mbinguni 😃😃Japo ipo hivyo ila bado tunatafiti 🤔
Umeanza vizuri ila finishing hapo mwishoni umeongeza zero mkuuUfahamu wako hapo ndo ulikofika! Maana nikikuuliza Mungu anaishi wapi utaniambia ni mbinguni, nikikwambia mbinguni umewahi kufika utaniambia hapana! Nikikuuliza shetani yupo utaniambia ndio nikikuuliza anaishi wapi utaniambia ni kuzimu je kuzimu ni wapi???? Mungu alipomuumba mwanadamu alimpa ukomo wa kufikiri na kuwaza, ndo maana mambo ukianza kujiuliza hayana majibu! Kwa hiyo amini kwamba Mungu yupo na kama Mungu yupo amini kwamba mbingu ni halisi na kuzimu ni halisi, kinachobaki ishi kwa imani ndipo utakapompendeza Mungu! Siri zote za wapi mwanadamu anaenda baada ya kifo zimeandikwa kwenye biblia, na kinachozikwa ni mwili tu lakini roho ambayo ndio uhalisi wa mtu huwa haipo toka huyo mtu alipokata pumzi siku ya kwanza! Na kwa nini mwili unaenda mavumbini biblia imeeleza!! Tatizo binadamu ni wabishi sana hamtaki kusoma biblia, hamtaki kuokoka na kumwamini Yesu!
Note: bila kumwamini Yesu amini kwamba utatupwa motoni na baada ya kifo unaenda kuzimu! Kuzimu na mbinguni ni sehemu ambazo zinafikika kupitia kifo tu! Bila kufa hizi sehemu huwezi kufika! Maana zinatambulikana kwa jinsi ya Rohoni!!
Bado pia biblia Ina maswali mengi ambayo hayana majibu piaUfahamu wako hapo ndo ulikofika! Maana nikikuuliza Mungu anaishi wapi utaniambia ni mbinguni, nikikwambia mbinguni umewahi kufika utaniambia hapana! Nikikuuliza shetani yupo utaniambia ndio nikikuuliza anaishi wapi utaniambia ni kuzimu je kuzimu ni wapi???? Mungu alipomuumba mwanadamu alimpa ukomo wa kufikiri na kuwaza, ndo maana mambo ukianza kujiuliza hayana majibu! Kwa hiyo amini kwamba Mungu yupo na kama Mungu yupo amini kwamba mbingu ni halisi na kuzimu ni halisi, kinachobaki ishi kwa imani ndipo utakapompendeza Mungu! Siri zote za wapi mwanadamu anaenda baada ya kifo zimeandikwa kwenye biblia, na kinachozikwa ni mwili tu lakini roho ambayo ndio uhalisi wa mtu huwa haipo toka huyo mtu alipokata pumzi siku ya kwanza! Na kwa nini mwili unaenda mavumbini biblia imeeleza!! Tatizo binadamu ni wabishi sana hamtaki kusoma biblia, hamtaki kuokoka na kumwamini Yesu!
Note: bila kumwamini Yesu amini kwamba utatupwa motoni na baada ya kifo unaenda kuzimu! Kuzimu na mbinguni ni sehemu ambazo zinafikika kupitia kifo tu! Bila kufa hizi sehemu huwezi kufika! Maana zinatambulikana kwa jinsi ya Rohoni!!
Siamini katika mbingu na mambo mengine yakinadharia yahusuyo roho na blabla nyengine za mizimu na wachawi..!!Maneno yasiwe mengi ebu tuumize akili shusheni majibu tafadhari
Hata akileta ushaidi Bado utakuwa biased kama diniTatizo ni hakuna aliyewahi kwenda na akarudi akaleta ushahidi kuwa alikuwa mbinguni 😃😃
Hahaha utajuaje mimi nimekwenda nani na jitambua na kurudi na ujumbe ?Tatizo ni hakuna aliyewahi kwenda na akarudi akaleta ushahidi kuwa alikuwa mbinguni 😃😃
Toa huo ushauriHiki ni kitendawili kinachoteguliwa na Geniuses tu.
Msio magenius mkojoe mlale.
Fuateni ushauri wa BICHWA KOMWE.
Cc: Lucas Mwashambwa Extrovert Lamomy raisi ajaye nchini nchini