Hivi ile kashfa ya ubinafisishaji wa hili shirika iliishia wapi?
Jinsi ninavyoona ni kuwa Kisena na wenzake wamepuuzia kabisa hoja zote za suala la ubinafsishaji na wameendelea kutekeleza mipango yao ya UDA kana kwamba wao ni wamiliki wasio na utata. Hii ina maana gani?
a. UDA imeingizwa kwenye deni jingine; fikiria kama ubinafsishaji wa UDA utakuja kutenguliwa na kuwa irudishwe mikononi mwa umma, haya magari yamenunuliwa kwa mkopo au fedha taslimu mahali fulani well kina Kisena wakisema wanataka mabasi yao watakataliwa?
b. Kwa vile suala hili linahusisha bado ushirika wa umma suala la manunuzi (procurement) ya mabasi haya inabidi liangaliwe kwa ukaribu kama limefuata kanuni za manunuzi ya umma. Je, kulikuwa na ushindani wowote? Je shirika lina liability ya namna gani katika ununuzi huu?
Spot on!Kwa hiyo hapo tujiandae kulipa sh 3bn/-. Kitu kingine ambacho bado sijaelewa wanadai pesa za kununua hayo mabasi zimetoka kwenye sources za nje. Wasingeweza kutumia accounts za UDA kwa vile zimekuwa frozen kwa ajili ya uchunguzi. Ni mtu gani anaweza kufanya biashara na kampuni ambayo accounts zake zimefungwa for investigation hata haijakamilika?
Kwa hiyo hapo tujiandae kulipa sh 3bn/-. Kitu kingine ambacho bado sijaelewa wanadai pesa za kununua hayo mabasi zimetoka kwenye sources za nje. Wasingeweza kutumia accounts za UDA kwa vile zimekuwa frozen kwa ajili ya uchunguzi. Ni mtu gani anaweza kufanya biashara na kampuni ambayo accounts zake zimefungwa for investigation hata haijakamilika?
Jinsi ninavyoona ni kuwa Kisena na wenzake wamepuuzia kabisa hoja zote za suala la ubinafsishaji na wameendelea kutekeleza mipango yao ya UDA kana kwamba wao ni wamiliki wasio na utata. Hii ina maana gani?
a. UDA imeingizwa kwenye deni jingine; fikiria kama ubinafsishaji wa UDA utakuja kutenguliwa na kuwa irudishwe mikononi mwa umma, haya magari yamenunuliwa kwa mkopo au fedha taslimu mahali fulani well kina Kisena wakisema wanataka mabasi yao watakataliwa?
b. Kwa vile suala hili linahusisha bado ushirika wa umma suala la manunuzi (procurement) ya mabasi haya inabidi liangaliwe kwa ukaribu kama limefuata kanuni za manunuzi ya umma. Je, kulikuwa na ushindani wowote? Je shirika lina liability ya namna gani katika ununuzi huu?
Kaka tuache ubishi kisena anamiliki 51% kwahiyo moja kwa moja sio shirika la umma!
Mh kweli shamba la bibi,wakati hawa jamaa wanatuzuga na hizo tata wahindi wao wanatumia Ashok layland ambazo zinamilikiwa na serikali kutoa huduma kwa jamii na kwa kushirikiana na vyombo vya usalama wanakusanya mapato ya kutosha pamoja na uwingi wao lakini usafiri sio pasua kichwa kama kwetu tz amakweli tunahitaji viongoz wenye uchungu na nchi yetu
It mainly helps to ramp up the development process as the focus is shifted towards target achievement rather than profit achievement. Mwanzo tulidhania UDA itaenda kwa mpango huu kabla ya kuuzwa.
Kanunua kwa nani?... Idd Simba au?Hizo share kapewa bure?
Nope but he got the dough!!!, hazina hawajapata, CITY COUNCIL HAWAJAPATA,Kwa Idd Simba ndiye aliyekuwa anamiliki hizo asilimia 51 za share?
Nope but he got the dough!!!, hazina hawajapata, CITY COUNCIL HAWAJAPATA,
uNLESS VYOU KNOW OTHERWISE SISI TUNASUBIRI RIPOTI YA CAG.
na hiyo habari kwenye michuzi inasema Simon Group wanunua...... Siyo UDA.
Siyo mabasi ya UDA hayo... we mwache adai anavyodai.Which means sio mabasi ya UDA then? Kisena anadai hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa UDA kununua magari mengi kwa wakati mmoja katika uhai wake.
Siyo mabasi ya UDA hayo... we mwache adai anavyodai.
Hayo ni mabasi ya Simon Group. Kama ilivyoandikwa michuzi.