Mbona taarifa ina mipasho ya kanga?Tunawataka washindani wetu waache tabia ya fisi ya kumfuata mtu anayetembea kwa haraka wakidhani atandondosha mkono wapate kitoweo vinginevyo watakufa njaa.
Taarifa haina thamani ya mtaji wa kampuni kabla na baada,madeni wala gharama za manunuzi za mitambo,tunaaminishwa tu kwa kutajiwa imekuwa kwa 5,000%.Ni kama mipasho fulani hivi..
usikute hii imeandikwa na mzee wa msogaHawa UDA wamekaa kimipasho flan ivi, ngoja nao waje watumbuliwe maana ni jipu uchungu lililoiva kabisa hili.
Binamu hujalala tu???usikute hii imeandikwa na mzee wa msoga
kisena na uda yake ni jipu lililoiva. tutakuja juta kwa kwenda dart na uda ya kisena. ukitumbua uda ya kisena utakuta ni mali ya umma imeporwa. uda ya kisena ni hewa tupu (its a bubble). ni madeni umma unategeshewa kubeba. hakuna uwekezaji hapo ila uporaji wa umma.Kwani yule aliyesema asubuhi alisema chanzo?
Hii ni professional ya watu ndugu. Liability zikizidi assets si kufilisika. Halafu kuna equities na pia kwenye financial institutions hiyo ni kawaida.Liabilities zikizidi assets zako.....unafilisika tu, haijalishi thamani ya hizo assets zilizopo. Kama madeni ni trilioni 1 na assets ni bilioni 500....unaweza kuwa mufilisi tu!
Walioshindwa kulipa kodi za TRA ili ku clear mabasi bandarini ni hawa UDA au wengine? Kushindwa kulipa madeni ni dalili ya kuelekea kufilisika.
Taarifa haina thamani ya mtaji wa kampuni kabla na baada,madeni wala gharama za manunuzi za mitambo,tunaaminishwa tu kwa kutajiwa imekuwa kwa 5,000%.Ni kama mipasho fulani hivi..
Mkuu..
Nakuunga mkono hawa matapeli Watakuwa wamevimbiwa walipokua wanaandaa hii Taharifa..
Thamani ya mtaji wa kampuni kabla na baada,madeni bila kusahau gharama za manunuzi za Dhamani..
Tuwape muda watakuja na ngonjera nyingine mpya..
NAFKIRI YULE MKURUGENZI KHALFAN KAHUSIKA HAPAMbona taarifa ina mipasho ya kanga?