It doesnt matter, hata kama yeye sio mtumzi, lakini imagine watu asilimia kubwa duniani wanamuona yeye ndo hero in black face. So now yeye ndo angekua na power na sio mtunzi. Afu pia hawataki any black person awe na kitu kinaitwa super ndo maana wamemudankisha afu wamesingizia kansa ili dunia ione mtu mweusi mdhaifu tu kumbe anaweza kufa kwa kansa. .Huyo dogo alichallenge white system? Huwezi ukasema ile movie kachallenge white system ile movie siyo yake yeye muigizaji ile movie imetengenezwa na marvels studios hivyo yeye si mhusika wa story wala chochote, bali ni kufuata script aliyocheza. Sasa muandishi wa story na mtengeneza movie ndiye kama ilitakiwa auawe angeuawa yeye maana bila yeye hakuna black panther.
acha kulisha watu matango pori kwa kuwajaza ujuha....Jamani tusibishane sana, tuongee facts. Afu utanipinga kama naongea uongo. Maana inaonesha unatetea sana racism.
1. Ukoloni wa mtu mweusi ulikuepo
2. Watu weusi waliteswa na kulimishwa kwa faida ya wazungu
3. Ubaguzi wa rangi upo
4. Ukoloni mambo leo upo
5. Agenda ya billigate na european nations kupunguza population ya watu weusi ipo
6. Mayweather is the most hated boxer in america kwa sababu ni undefeated
7. Ma black super hero wote wanachukiwa ulaya na wako kwenye hatari ya kupotezwa.
Nafikiri umepata mwanga
Kwanini hawakumuua Barack Obama?Ukiwa na mafanikio makubwa ambayo yatakupa power ya watu kukusikiliza ndo hapo wanakuja na kukuua. Faaaaaaaact.....!
Hawapendwi na nani?Kwa sababu ni mtu mweusi. Na watu weusi hawapendwi
Kuwa "The Great" ni nini?So na kama hawapendwi basi mimi na ww hatutakiwi kua na ndoto za kua "the great"
Hao wazungu watunzi na watengenezaji wa hiyo movie ina maana hawakujua kuwa hiyo movie inaenda kuwa blocbuster movie na waigizaji watakuwa mastar? Marvel studio inajulikana kwa kutengeneza super hero block buster movie ina maana walilitegema hili. Na narudia wamiliki wa hizo studios ni whites, sasa kama walilitegemea kwanini wamuue. Na black panther 2 ilikuwa ina planiwa itoke 2022.It doesnt matter, hata kama yeye sio mtumzi, lakini imagine watu asilimia kubwa duniani wanamuona yeye ndo hero in black face. So now yeye ndo angekua na power na sio mtunzi. Afu pia hawataki any black person awe na kitu kinaitwa super ndo maana wamemudankisha afu wamesingizia kansa ili dunia ione mtu mweusi mdhaifu tu kumbe anaweza kufa kwa kansa. .
Mkuu kuna vitu undercover vya hatari. And they make sense
Kuna wazungu ambao interest yao ni pesa tu na wengine ni masikini tu. Lakini kuna hawa ambao wako interested na power na ndio wanacontrol dunia. Kua makini. Sio kila mzungu ni mbaguzi ila walio wengi ni wabaguzi na wengine ndo hao wako kwenye position nyetiHao wazungu watunzi na watengenezaji wa hiyo movie ina maana hawakujua kuwa hiyo movie inaenda kuwa blocbuster movie na waigizaji watakuwa mastar? Marvel studio inajulikana kwa kutengeneza super hero block buster movie ina maana walilitegema hili. Na narudia wamiliki wa hizo studios ni whites, sasa kama walilitegemea kwanini wamuue. Na black panther 2 ilikuwa ina planiwa itoke 2022.
Kwa hiyo unaamini wamemuua kisa amecheza super hero movie ya black panther? Wangemuua na Obama maana ni influencial kuliko huyo dogo. Point yangu ya msingi kwenye comment zangu ni kwamba hii habari ni ya uzushi hata siyo consipiracy theory bali ni uzushi wa mtandao toka fake channels and blogs zinazosaka viewers.Kuna wazungu ambao interest yao ni pesa tu na wengine ni masikini tu. Lakini kuna hawa ambao wako interested na power na ndio wanacontrol dunia. Kua makini. Sio kila mzungu ni mbaguzi ila walio wengi ni wabaguzi na wengine ndo hao wako kwenye position nyeti
Umejuaje?Sikiliza: ambacho hataki mzungu, ni black kua superior na white kua inferior. Huoni picha mkuu
Lini chadwick alichallenge white system?Lakini ulishawahi kusikia wanachalenge white system
Kwani movie ni ya nani?Ila uki act kama black superhero na idea yako ika prosper. Wanakua na wasiwasi.
kath coleman ni actress huyu tena mzungu so nashindwa kung'amua apo mkuuHii habari haiko kokote isipokuwa kwa watu wa maconspiracy, youtube channels uchwara na vi blog uchwara. Hutoikuta kwenye chombo chochote kikubwa cha habari.
Mkuu unamapenzi ya dhati na wakolonikath coleman ni actress huyu tena mzungu so nashindwa kung'amua apo mkuu
sio ivyo mkuuMkuu unamapenzi ya dhati na wakoloni
inshu ni kwamba ,huyu mzungu kathy ni nin anajalibu kudokeza lazima ili liangaliwe kwa jicho jingine so naweza kusapoti ,kufuangaliwa hili swala kwa jicho jingine mkuuMkuu unamapenzi ya dhati na wakoloni
Kathy ni nani mkuu, sijafatilia kiundani kuhusu huyo kathyinshu ni kwamba ,huyu mzungu kathy ni nin anajalibu kudokeza lazima ili liangaliwe kwa jicho jingine so naweza kusapoti ,kufuangaliwa hili swala kwa jicho jingine mkuu
Jamaa aligundulika na Kansa tangu mwaka 2016, kabla ya movie ya Black Panther amecheza movie nyingi huku akiwa anafanyiwa operations Mara kwa Mara. Jamaa alianza kutembelea wagonjwa wa Kansa na kutoa sapoti Ila hakuwahi kusema hadharani kua ana Kansa, lkn watu wake wa karibu Kama kina Danzel, Tony Braxton walijua hii inshu. Sasa miezi ya nyuma kabla ya kifo chake jamaa alianza kupungua uzito mpk ikafikia hatua watu wakimdhihaki mitandaoni. Ktk kipindi hicho Mara kwa Mara alimpigia simu Tony Braxton ili amuimbie nyimbo Kama kumfariji maana alijua hatopona, hatimaye umauti ulimkuta. Jamaa amekufa kwa Colon kansa, hyo taarifa imetolewa na familia yakeIt doesnt matter, hata kama yeye sio mtumzi, lakini imagine watu asilimia kubwa duniani wanamuona yeye ndo hero in black face. So now yeye ndo angekua na power na sio mtunzi. Afu pia hawataki any black person awe na kitu kinaitwa super ndo maana wamemudankisha afu wamesingizia kansa ili dunia ione mtu mweusi mdhaifu tu kumbe anaweza kufa kwa kansa. .
Mkuu kuna vitu undercover vya hatari. And they make sense
Badili mtazamo wako, Your too negativeIt doesnt matter, hata kama yeye sio mtumzi, lakini imagine watu asilimia kubwa duniani wanamuona yeye ndo hero in black face. So now yeye ndo angekua na power na sio mtunzi. Afu pia hawataki any black person awe na kitu kinaitwa super ndo maana wamemudankisha afu wamesingizia kansa ili dunia ione mtu mweusi mdhaifu tu kumbe anaweza kufa kwa kansa. .
Mkuu kuna vitu undercover vya hatari. And they make sense
Aina ya watu Kama wewe huchelewa sana kupata Maendeleo maana kila hatua unayotaka kupiga unahisi Kuna watu wanakuwangia. Ukishindwa ktk Jambo lawama zote unapeleka kwa watu wanaokuzungukaJamani tusibishane sana, tuongee facts. Afu utanipinga kama naongea uongo. Maana inaonesha unatetea sana racism.
1. Ukoloni wa mtu mweusi ulikuepo
2. Watu weusi waliteswa na kulimishwa kwa faida ya wazungu
3. Ubaguzi wa rangi upo
4. Ukoloni mambo leo upo
5. Agenda ya billigate na european nations kupunguza population ya watu weusi ipo
6. Mayweather is the most hated boxer in america kwa sababu ni undefeated
7. Ma black super hero wote wanachukiwa ulaya na wako kwenye hatari ya kupotezwa.
Nafikiri umepata mwanga
Kwahyo kwa kua kazungumza mzungu unaamini, familia yake kwa kua Ni weusi huwaamini. Vipi Kama huyo Cathy anataka attention tu?. Jaribu kufikiria utagundua kua inshu ya kuwekewa sumu Ni uzushi mtupu.inshu ni kwamba ,huyu mzungu kathy ni nin anajalibu kudokeza lazima ili liangaliwe kwa jicho jingine so naweza kusapoti ,kufuangaliwa hili swala kwa jicho jingine mkuu
Hii habari haiko kokote isipokuwa kwa watu wa maconspiracy, youtube channels uchwara na vi blog uchwara. Hutoikuta kwenye chombo chochote kikubwa cha habari.