Uchunguzi wa BOMU ARUSHA jionee mwenyewe

Uchunguzi wa BOMU ARUSHA jionee mwenyewe

Ta Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
3,547
Reaction score
2,194
Nineikuta Facebook kwa Shabiki wa CHADEMA na alichokuwa ameandika hapo chini je hii ni kweli au kaweka chumvi
[h=5]
Kutenga mil 100 eti zawadi kwa atakaye mtaja mhusika wa bomu la Arusha sio tu kutufanyia dhihaka wafiwa bali pia ni kuchezea kodi zetu.

Picha zinaonyesha wanajeshi wakikagua tundu la risasi kwenye tank la mafuta la gari la CHADEMA, ambalo lilikuwa likitumika kama jukwaa.
Tank lilipigwa risasi ili lilipuke na kila aliyekuwa jukwaani asingepona. MUNGU YUPO NASI , HALIKULIPIKA. maganda ya risasi yanaonyesha niya bunduki aina ya SMG, Je ni kina nani wanamilik SMG Tanzania??, Yaonyesha bomu halikufika kwenye "target" ,ikabidi watumie risasi za moto.
Wasizunguke msitu, wasituchezee shele... waanze na hao wamiliki wa SMG.
[/h]




 
Savimbi-Mwigulu nchemba+Kone Nape nnauye!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kashfa nyingine kwa Jeshi la Polisi, Serikali ya CCM
 
Alioandika huyo Mkuu wa FB yana ukweli kabisa sasa hata wewe ukijiuliza mwenyewe hayo maganda ya risasi za SMG yanatoka wapi na nani alikuwa na hiyo SMG kama si Police na kama alivyoandika moja kwa moja sio kiushabiki zaidi kama nilivyoisoma hapa hii habari yake hapa ni kwamba ukweli uko wazi kwamba hela ambayo imewekwa ni kodi zetu mia kwa mia na pia walioweka hilo dau wanafahamu kabisa hakuna mwananchi atakaye lipata kwa kuwa ni wao wenyewe na wanafahamu deal so hapo ni kwamba tayari changa la macho.Iliyobaki sasa kila mwana nchi nikujilinda mwenyewe kama Somalia vile.Hakuna Police ni vibaka tu kuwalinda vibaka wenzao CCm.
 
makamanda leteni gari makmanda tumeua watu mwenyekiti njoo tumeua watu hayo sio maneno yangu bali ni maneno ya mtu wa chadema akiongea kwenye mlipuko huo kupitia kipaza sauti akimwita mwenyekiti kwa hiyo jamani mpime na hizi kauli mkiwa mnatengeneza picha
 
Savimbi-Mwigulu nchemba+Kone Nape nnauye!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mtazunguka sana kumtaja Mwigulu,Nape,Mwampamba na wengineo...Lakini there is some one behind the scene (the tenth letter of alphabet and its following letter).

Kuna kitu ambacho kinatakiwa kieleweke
1:kama haiwaudhi wenye mamlaka kwanini hatua stahiki hazichukuliwi.

2:Historia ya visasi inakuwa kwa binadam wa aina gani

3:Walengwa wa kuuawa wana historia gani tofauti na wenye mamlaka..


Nafikiri wa kina Nchemba ni messanger tu,ila wahusika waliopo nyuma hawagusiki,japo ni dhana potofu.
 
Mrusha bomu awe polisi wa tanzania? Hainiingii, awe mwana ccm, anataka kuua wanachadema ambamo hana uhakika kama kuna ndugu zake? Hainingii pia.. Imani kali za kidini, au waasi wa M23, kwangu ni Yes!!
 
Savimbi-Mwigulu nchemba+Kone Nape nnauye!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Usihizi habari ndiyo hiyo na wengine waliowaona mlipuaji na wapiga risasi wamejificha kutoka hadhalani mpaka wakati muafaka. Yule mtoto hospitali amesema alipigwa risasi na mtu aliyevalia sare ya polisi
 
hawa watu wanaroho mbaya sana, lengo lao wafe watu wengi zaidi.!!!
 
Je ni kiongozi chama kipi alisema watahakikisha nchi haitatawalika? je ni kiongozi wa chama kipi alisema wanahakikisha arusha watashinda kwa gharama yoyote? hiyo ni "circumstantial evidence" kuwa mauaji yote ya arusha yanapangwa na chadema ili watu waichukie serikali yao. Kumbuka kesi ya kupanga njama za mauaji iko mahakamani.
 
Back
Top Bottom