Uchungu wa pesa una uma🥲

Uchungu wa pesa una uma🥲

Nilikuwa na mke wa ndoa tukakubaliana tuachane kipindi sina kitu, ila alivyo ona mimi sio fala akanidanganya tuachane tu ila ndoa tusivunje🤔

Eti kigezo kuwa yeye kaajiriwa nitatumia bima yake ila nifanye maisha yangu😅😅

Aisee niligoma nikamgonga talaka , japo nilizaa nae😊

Akaenda olewa ,ila sasa naliona linalalamika kuhusu mume wake kwangu , fanyeni kukaa kijanja .

Mafala mnaodatishishwa na tako na rangi mnatekwa hapa viazi nyie😅
Ifike hatua sisi wenye ndoa tamu na zilizodumu tuwe tunaongea zaidi.
Acha nikutie moyo uoe tena, ndoa raha sana 😂
 
Ifike hatua sisi wenye ndoa tamu na zilizodumu tuwe tunaongea zaidi.
Acha nikutie moyo uoe tena, ndoa raha sana 😂
Wanandoa wengi wangekuwa hawachepuki, hawazai ama hawateswi na mapenzi ya watu waliopo nje ya ndoa.

wangekuwa ni watu ambao wengine wote wanaowazunguka wanawaona kama role models. Sidhani kama ndoa ingepigiwa promo ya uzuri wake ila kwa sababu uhalisia unajulikana. Ni ngumu sana kuwaaminisha watu tofauti
 
Mm wangu 2019 nilimwachia mpk nguo zangu ,auze akuze mtaji zaid ya biashara ya mpesa na kiwanja ,ila cha ajabu aliuza kiwanja m 90 mwaka 2020 .ila ss hv ukimwonaa hana pakulala wala uwakikaa wa kula,,mm msaada niliompa nikuchukuaga mtt wangu tu kwakuwa mwanzo alimng'ang'ania .ila ss hana ujanjaa

90m alihonga?
 
Bwashee ukipiga nyeto ni ngumu kuendeshwa kindezi
Sana! Wife siku mmoja alijifanya kuninyima mbunye. Mimi Wala sikuhangaika naye, nilikwea zangu mnazi kwa kono moja mbele yake, nikarusha Moja, nikalala. Tangu siku ile hadi Leo sijanyimwa tena.

Mwanamke muoneshe kuwa una plani B au replacement yake, atanyooka tu!
 
Kabisa bwashee , sasa unadinya kina melamine densely unawaza nini😅
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom