MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,563
Pamoja na kuwa kwenye bia ya 6 hapa-post via mobile, mi kama baba mtoto akiwa mgonjwa tunapeana zamu usiku kumhudumia masaa matatu matatu.Natamani kuchangia ila mimi sio mbaba!!!
Wababa saa hizi sijui wako na familia...au guys night out.....ngoja waje kutuambia kama na wao hua tumbo linawakata pindi chochote kibaya kinapotokea kumhusu mtoto/watoto wao!!!
Pamoja na kuwa kwenye bia ya 6 hapa-post via mobile, mi kama baba mtoto akiwa mgonjwa tunapeana zamu usiku kumhudumia masaa matatu matatu.
Uchungu vs upendo?
Mama yupi na baba yupi? Wapo ambao:
1. Mama anatoa mimba(anamuma mtoto), amemzaa anatupa vichakani, au ametelekeza, anampiga mtoto afadhali ya mwizi....
2. Baba amemkana mama wakati wa ujauzito, kule mtoto, au anahangaika na wanawake wengi badala ya kushirikiana na mama kumtunza mtoto, anahangaika na ulevi, ....
To me ni ngumu ku-generalize....
Kwa tafsiri ya kawaida wazazi ni baba na mama tu hao shangazi/mjomba ni walezi tu.umeambiwa mzazi.....yeyote yule hata mjomba au shangazi ilimradi
ndie mzazi wa mtoto huyo.....atakuwa na uchungu na mtoto.....
kwa ufupi mtu yeyote mwenye jukumu na mtoto husika atakuwa na uchungu
kwa lolote baya litakalomfika mtoto......