Uchunaji noma

Prezda

Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
61
Reaction score
9
Nawasihi madada kuacha tabia ya kuchuna wanaume kwani maisha yamekuwa magumu watu wote ktk jamii wanapaswa kuzalisha pasipo kujali jinsia ugoli kipa ulikuwa zamani
 
... Kakuambia nani kuwa mama zetu walikuwa magolikipa? our mamas worked so hard. Wamama wa zamani walipeleka watoto shule wakati baba zetu wanapuyanga huko.

Hawa wa karne hii wanangalia sana tamthilia za akina Alejandro, hatuwawezi.
 
Mnalazimishwa kutoa? Yaani kati ya viumbe wanaostahili kuwekwa katika maajabu ya dunia ni wanaume, wengi hawajitambui, kuhonga muhonge nyie alafu kulalamika mlalamike nyie, nyie niaje?
 
Nawasihi madada kuacha tabia ya kuchuna wanaume kwani maisha yamekuwa magumu watu wote ktk jamii wanapaswa kuzalisha pasipo kujali jinsia ugoli kipa ulikuwa zamani

tushauri basis tuache na kuhonga, coz we do it willingly. hashikiwi MTU panga..
a moment pliz.....hivi dunia nzima tungekuwa wanaume tu, bila viumbe Wa kike, kungekuwa na haja ya kulala migodini na kukesha tukisaka pesa?
 
Kuchunwa na kuchuna ni zamani sana. Siku hizi tunaita zawadi.
 
Nawasihi madada kuacha tabia ya kuchuna wanaume kwani maisha yamekuwa magumu watu wote ktk jamii wanapaswa kuzalisha pasipo kujali jinsia ugoli kipa ulikuwa zamani

mie nisipochunwa mara nyingine semazaukweli najiskia vibaya...
hawa viumbe wenzetu..nao wana hakii ya kuhongwa kidogo mdau
please kidogoo
 
Nawasihi madada kuacha tabia ya kuchuna wanaume kwani maisha yamekuwa magumu watu wote ktk jamii wanapaswa kuzalisha pasipo kujali jinsia ugoli kipa ulikuwa zamani

uchunaji nacho kipaji..

sio kila mwanamke unaemuona kavaa suruali ya kubana ukadhani anaweza kuchuna!

wanaume nasi tuna mbinu zetu mbadala za kuwauwa wachunaji hapa mjini!

if she eat you one, eat her back thrice!

game over..
 
Hata sijielewi,,,,, hapa baridi kali leo siku ya 3 mvua tu mchana na usiku.

whaaaat?

unataka kuniambia uko peke yako na baridi yote hiyo? tena siku 3 mfululizo kudadeki??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…