Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,289
Anaandika Comred Julias Mtatiro
UCHUMI WETU UNAENDELEA KUKUA KWA KASI...
[HASHTAG]#Soko[/HASHTAG] la Hisa la Dar Es Salaam (DSE) limeendelea kuanguka na mauzo yamepungua kwa asilimia 87 (Ripoti ya Wiki iliyopita),
[HASHTAG]#Shirika[/HASHTAG] la ndege la FASTJET limefuta safari za DAR - NAIROBI na ENTEBBE kama njia ya kujaribu kujiondoa kwenye hali ngumu ya uchumi.
- Shirika hilo pia limeondoa ndege kubwa (AIRBUS) na kuleta ndogo aina ya EMBREAR E 190.
- FASTJET pia imefanya zoezi kubwa la kupunguza wafanyakazi ikiwemo marubani.
[HASHTAG]#Kampuni[/HASHTAG] sita za kigeni zinazomiliki viwanda vikubwa kadhaa hapa Tanzania, zinaweza kufunga viwanda hivyo muda wowote kuanzia sasa kutokana na sababu mbalimbali (Shirika la Habari la REUTERS limeripoti).
[HASHTAG]#Note[/HASHTAG], hizi ni habari tu, msizipe uzito.
[HASHTAG]#JSM[/HASHTAG].