Uchumi wa Urusi katika msukukosuko, wasinyaa

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
65,015
Reaction score
111,410
Katika taarifa zilizotolewa na Urusi yenyewe kwa robo ya kwanza ya mwaka, Uchumi wa Russia mwaka huu mpaka sasa umesinyaa kwa 1.9% , mapato yake ya nishati ya gesi na mafuta yameanguka kwa 50% na pengo la bajeti yake limeongezeka kwa 17%.

Wachambuzi wengi wanasema hali imechangiwa na kuanguka pakubwa kwa bei za gesi na mafuta, price cap iliyowekwa na US na Ulaya pamoja na kuuza kwa discount kwa mataifa ya India na China ambayo yamegeuka kuwa soko kubwa la uhakika la Urusi.
 
Naona umekuja kujibu uzi unaoongelea Uchumi wa Ujerumani kuanguka, ila tatizo ni moja mwenzako kaweka data na ushahidi lakini wewe umeandika unachofikiria kichwani mwako.
 
Naona umekuja kujibu uzi unao ongelea Uchumi wa Ujerumani kuanguka ,ila tatizo ni moja mwenzako kaweka data na ushahidi lakini ww umeandika unacho fikiria kichwani mwako.
The Moscow Times
Bloomberg
Reuters
 
India na China wana namba ila wanakosa purchasing power. Siku hawa jamaa wakapata PP kubwa Ulaya itaacha kutumika kama fimbo ya kiuchumi.

Tena bora China angalau kidogo, India ndo kabisa, ni waumini wa high quality cheap price. Kuwategemea wawe soko lako inabidi hiyo bidhaa iwe converted katika mfumo ambao utapokea kidogo kidogo kwa wengi, otherwise hutakuwa na wateja wa kutosha wenye uwezo wa kununua kwa price inayoendana na quality.
 
Katika taarifa zilizotolewa na Urusi yenyewe kwa robo ya kwanza ya mwaka, Uchumi wa Russia mwaka huu mpaka sasa umesinyaa kwa 1.9% , mapato yake ya nishati ya gesi na mafuta yameanguka kwa 50% na pengo la bajeti yake limeongezeka kwa 17%.

Wachambuzi wengi wanasema hali imechangiwa na kuanguka pakubwa kwa bei za gesi na mafuta, price cap iliyowekwa na US na Ulaya pamoja na kuuza kwa discount kwa mataifa ya India na China ambayo yamegeuka kuwa soko kubwa la uhakika la Urusi.
Na uchumi wa Ujerumani ukoje mtaalamu uchwara wa uchumi kutoka chato?
 
Warusi wa gezaulole wanajifanya hawaoni Uzi😀😀😀
Wanajadili kwanza uchumi wa Ugereman, ambayo uchumi wake ulikua unakua Kwa speed ya 5G, ambapo Sasa unaspeed ya 2G. Wakimaliza huko watakuja kujadiliana na wafuasi USA ya Arusha.
 
Katika taarifa zilizotolewa na Urusi yenyewe kwa robo ya kwanza ya mwaka, Uchumi wa Russia mwaka huu mpaka sasa umesinyaa kwa 1.9% , mapato yake ya nishati ya gesi na mafuta yameanguka kwa 50% na pengo la bajeti yake limeongezeka kwa 17%.

Wachambuzi wengi wanasema hali imechangiwa na kuanguka pakubwa kwa bei za gesi na mafuta, price cap iliyowekwa na US na Ulaya pamoja na kuuza kwa discount kwa mataifa ya India na China ambayo yamegeuka kuwa soko kubwa la uhakika la Urusi.
Huyu urusi ana mpango wa kuanzisha umoja wao kule akishirikiana na Uganda, South Africa, India, Brazil na China huko sasa kama hali ni hiyo Big Boss hasa wa umoja huo atakuwa nani? Au tuseme South Africa maana nako naskia wanalala gizani umeme ni giza totoro
 
Vita ni hasara tu...
Sasa kama unamkopesha India gas atalipa nini? nchi maskini kama ile au South Africa na Uganda huko
Soko la gas na mafuta lilikuwa ulaya sasa mirija imekatwa atatokea wapi putini superpower wa mchongo
 
Back
Top Bottom