Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Baada ya Ujerumani uchumi wao kuanguka sasa ni zamu ya Uholanzi. Pato la taifa limezidi kushuka huku pato la wanunuzi nalo likizidi kushuka kwa kasi.
Tunaomba mzee Putin aendelee kupeleka hii SMO taratibu mpaka maji waite mma, anayefata ni UK japo hataki kusema ukweli.
Al Jazeera
Tunaomba mzee Putin aendelee kupeleka hii SMO taratibu mpaka maji waite mma, anayefata ni UK japo hataki kusema ukweli.
Al Jazeera