kutokana na projection za IMF uchumi wa tanzania ulikadiriwa kukua kwa 7-8% wakati mwaka unaanza: Mwaka wa 2023 kwenda 2024 GDP ilikua $70-$75B lakini mpaka mwisho wa mwaka huu GDP yetu ni ~$90B, ukuaji mzuri sana huu, maaana yake mpaka mwisho wa mwaka 2026 kama ukuaji utakua huu huu basi tutamaliza mwaka na GDP ya $120B na kuifanya tanzania kua katika tano bora afrika ya nchi zenye uchumi mkubwa