Uchumi wa rwanda unakua kwa 70% rushwa imepungua kwa 78%

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,516
11,824
Tanzania uchumi unaporomoka kwa 10% rushwa imeongezeka kwa 100% katika kipindi cha mwaka 1994-2010 source itv
 

Roulette

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
5,592
5,337
tuwe makini, nadhani kuna upepo wa negative propaganda against government ya Rwanda. Ila kama ni kweli lazima waseme.
 

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,169
2,996
Hapa TZ bila shaka siyo uchumi umeporomoka kwa 10% bali ni 60% lakini hawa magamba wanaona ni heko tu. Naye Pinda anasadiki kusimama na kuwadanganya Watanzania kwa kusema uchumi unakuwa kwa 7%. SITASAHAU!! Halafu wanaambiwa wanadanganya Watanzania eti wanasema wanachukiwa. Acha wakae hapo ghorofani siku si nyingi watashuka tu.
 

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,516
11,824
hata mpira wa basket wamechukua ushindi hapa hapa kwetu!ama kweli tanzania sii mahali salama pa kuishi
 

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,169
2,996
hata mpira wa basket wamechukua ushindi hapa hapa kwetu!ama kweli tanzania sii mahali salama pa kuishi

Mkubwa! Kama una namna yeyote ya kuweza kupata uraia ya Sudan ya kusini ama Rwanda nijuze Mi ntagharamia kila ki2 tuiache TZ inayoongozwa kimagumashi.
 

newmzalendo

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
1,377
538
inabidi hatua madhubuti zichukuliwe kuanzia ngazi ya chekechea ila Taifa lisizidi kuporomoka,kwani sasa hadi mwanangu wa Vidudu anajua maneno ya Fisadi/Kitu Kidogo.bila juhudi binafsi atakua Akijua kuwa rushwa/kitu kidogo/chai ndio mtindo wa maisha
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom