Uchumi wa Marekani hoi

Haina jipya.Hizi ni habari ambazo watu wasiojua kinachoendelea duniani ndo wanazishabikia.Wengine hatuna muda na vinavyotangazwa bali visivyotangazwa!

Kama vipi visivyotangazwa? Toa mfano.
 
Hivi, utalii bongo umeshafikia stage ya kuwa kama industrial business? Kwa sababu kwa wenzetu uliowataja Bermuda na Carribean islands, utalii ndio biashara kubwa inayowaletea kipato. Sisi tunauza nini cha maana leo kwenye soko la dunia?
Tumetajwa kuwa 3rd gold producer in the world lakini hiyo gold tumewagawia wazungu. What a shame.

Wewe Tanzania hujarudi muda mrefu? Siku hizi kuna watalii kibao. Na watu wengi wako kwenye hiyo biashara. Wanapata hela nzuri sana.
 
Kwa hiyo hivi vitu ndiyo vinakufanya useme uchumi umekuwa kwa 6%?. Wewe unaangalia 0.2% ya watanzania wenye hivyo vitu. 99.8% ya watanzania ni masikini sana, acha kuangalia Dar es Salaam tu ambako 99% ya wezi wa mali ya umma wanaweka mali zao. Nenda Tandahimba, au Isukamahela au Bonde.

Mimi nilidhania utanieletea list hii hapa, ambayo ndiyo hasa itakupatia uhalali wa kuongelea kukua kwa uchumi, ni vijana wangapi hawana ajira leo?:
1. Unemployment rate (Too high)
2. Quits rate
3. Housing start (too low)
4. Consumer price index (a measure of inflation) - High inflation
5. Industrial production – Almost zero
6. Bankruptcies – Very high, the Govt itself is bankrupt
7. Gross Domestic Product – can you say about this?
8. Retail sales – almost stagnant
9. Money supply changes - low with the exception of outliers most of them are corrupt Govt officials and their families

Data zako umetoa wapi? Hebu lete ushahidi. Mimi nimekuwekea source ya takwimu zangu. Wewe umeleta tuu hapa figures bila ya kuweka source. Wewe ni plagiarist au mzushi?
 
Hii ya mimi kuwa m-diaspora unaitoa wapi wewe? Do you know my principal place of abode? Na haijalishi kama wewe na wenzako mnapinga dual citizenship, mimi ni Mtanzania na hakuna atakayeniny'ang'anya Utanzania wangu. Hakuna.

Wewe si umeshakula kiapo cha kumtumikia Mwamerika ulipowaomba uraia? Sasa kwa nini unang'ang'ania kuwa Mtanzania? Unajipendekeza? Penda usipende wewe ni mtalii. Ulifikiri ni ujiko kuwa kuupata urai wa Marekani? Umejipotezea muda tuu maana Marekani siku hizi kwisha kazi.
 
nina MBA, MSC ya international health, PharmD na diploma ya MIS

Umesoma wapi? Marekani? Kama hizi shahada siyo za shule zinazojulikana kama Harvard, MIT, Stanford, n.k. hazithaminiki sana huku. Watu wengi siku hizi wameshtukia kuwa vyuo vingi vya Ulaya na Marekani ni degree mills tuu. Kwa hiyo huwa wana mashaka sana nazo maana wanaona vilaza wengi wanapewa shahada.
 
Wewe Tanzania hujarudi muda mrefu? Siku hizi kuna watalii kibao. Na watu wengi wako kwenye hiyo biashara. Wanapata hela nzuri sana.
Hujanielewa ndugu yangu. Hela zinazoingizwa na utalii Tanzania zinatosha kuendesha serikali? Katika visiwa vya Carribea utalii ndilo pato kubwa linaloendesha visiwa hivyo. Upo hapo?
 
Umesoma wapi? Marekani? Kama hizi shahada siyo za shule zinazojulikana kama Harvard, MIT, Stanford, n.k. hazithaminiki sana huku. Watu wengi siku hizi wameshtukia kuwa vyuo vingi vya Ulaya na Marekani ni degree mills tuu. Kwa hiyo huwa wana mashaka sana nazo maana wanaona vilaza wengi wanapewa shahada.
nimesome Howard, Liverpool school of tropical medicines na Birmingham

na mimi ndio wasiwasi wangu maana mentality iko hivyo huku tukisahau DMV pekee yaweza kuwa na vyo 10 vyenye ubora wa juu zaidi kama akina strayer, WSU, John Hoopkins, UOM, GMU, Howard, kwa upande wa afya,
 
Watu wana mihela sana bongo. Pili, watu wamejenga majumba, tatu watu wamenunua mashamba. Nne barabara nyingi mswano. Tano, watu wanasukuma michuma ya nguvu. Kila gari utaliona bongo siku hizi. Hivi vyote havikuwepo zamani.

...huwezi hata kujificha mkuu, hata ubadilike vipi

indicators ulizochagua this time ni kituko
 
Hujanielewa ndugu yangu. Hela zinazoingizwa na utalii Tanzania zinatosha kuendesha serikali? Katika visiwa vya Carribea utalii ndilo pato kubwa linaloendesha visiwa hivyo. Upo hapo?

Visiwa vya Carribean havina migodi, ardhi nzuri tena ambayo iko sehemu kubwa ndiyo maana uchumi wao unategemea utalii. Sisi hapa ni tofauti kidogo utaona hela ya utalii haitoshi lakini siyo kusema ni ndogo. Hao wa Carribean hawana njia nyingine ya kipato.
 
Ndiyo sisi tuna migodi lakini tumewagawia wazungu. Wanatuachia 3% na mashimo. Tuna ardhi nzuri lakini pia tumeamua kuwakodishia wageni wajilimie na kupeleka chakula kwao. Wenzetu Carribea watoto karibu wote wanavaa viatu, sisi watoto wetu kwa idadi kubwa bado wanasoma kwenye mavumbi. We should be ashamed.
 
nimesome Howard, Liverpool school of tropical medicines na Birmingham

na mimi ndio wasiwasi wangu maana mentality iko hivyo huku tukisahau DMV pekee yaweza kuwa na vyo 10 vyenye ubora wa juu zaidi kama akina strayer, WSU, John Hoopkins, UOM, GMU, Howard, kwa upande wa afya,

Kwa shule hizo, kazi utazopata ni za chini kidogo. Yaani hata dola 2000 kwa mwezi unaweza usipate. Upo? Labda urudi mwenyewe ufungue biashara yako kama mjasirimali.
 
Back
Top Bottom