kmdh
JF-Expert Member
- May 19, 2010
- 503
- 121
- Thread starter
- #41
We hujui sasa hivi kazi ya kupiga BOX ndo inapamba moto?
Mambo yakiwa poa kuna kazi ya Box,
mambo yakiharibika kuna kazi ya BOX
Sisi tupo katikati,
Wakienda juu wanatuhitaji tuwapeleke juu,
Wakishuka chini wanatuhitaji tuwapeleke chini.
Kilichotukimbiza Tanzania sasa kina wajukuu,
Hicho kitu,
Ndo kinafanya watu wajae Dar na miji mingine kuliko vijijini,
ndo kinacho nyang'anya ardhi Geza ulole kwa malofa,
kuwapa Wabunge Mawaziri Ikulu na familia zao
hata kama huko Dar wanakula unga ROBO mtu 7,
mtu bado inakanyagana tu.
Huku unamtumikia Kafir pia unakula na kusaza.
Tukirudi mpambano utakuwa mkali na nyie, IS and WAS inapanda,
Wanna Gonner nazo pia, Wo thapu DUuudu? ulimi laiiiiini.
Si unajua tena nchi imepigwa mnada kila mwajiri anataka wajua IS and a WAS?
Kazi ya box atakupa nani wakati kuna Wamarekani hawana kazi? Au wewe mzungu anakulalia hata minimum wage hakulipi?