joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
Kenya itakopa kiasi cha $1.3B ili kujazia pengo la bajeti yake ya 2020/2021, hivyo kulifanya deni la Taifa la Kenya kufikia takriban $72B ifikapo September mwaka huu.
Tanzania deni lake la Taifa limepungua hadi kufikia $26B, kati ya hizo $18B ni mikopo ya ndani, na $8B ni mikopo toka nje ya nchi.