Uchumi wa China waporomoka

Uchumi wa China waporomoka

kwa wale wanaofuatilia Fx Market au Forex traders watakuwa wali note During ASIAN TIME Soko limetulia sana ... LONDON TIME ... EU/USD ilikuwa iki trend down kuanzia mwanzoni mwa January... nadhani hii vita inayoendelea middle east na ugomvi kati ya SAUD & IRAN ikichangiwa na bei ya mafuta kushuka.... yaani its not a good month for traders at all ...

FX Traders wakati huu wapo kwenye hatari ya ku-loose sana au ku-gain sana.
 
Explain bro,ulixhokiongea sidhani kama kimekaa kitaaluma au kisomi zaidi, losing or gaining vyote vinawezekana kktk investment,sasa wewe ulipaswa uonyeshe umahiri wako kwenye hicho ulichokisema, I.e kifafanue kama wenzako waliotangulia walivyofanya.
 
Kila kitu kinaanzia kwenye oil business,importers wao wakubwa ni hao waarabu na wengi wao sasa wana run deficits kutokana na kushuka kwa oil price,tatizo la Chinese Economy inategemea sana export sasa wa kumuuzia kawa maskini na reality ya oil business inaelekea kuzimu kutokana na technology na uwezo mkubwa wa US sasa kuwa na mafuta yake na gas mwenyewe,Iran & Saudi ni non factor na hawana lolote zaidi ya visima ambavyo ni hasara tuu sasa,soon big Economies like US wataachana kabisa na oil business maana technology ndio inaelekea huko,usalama wa Chinese lazima waache kutegemea Export economy maana wa kumuuzia soon atapotea
 
That's everyday na ndio nature ya forex business maana to gain lazima uwe on the majority of sale/buy side,pesa haipotei in thin air your loss is someone gain somewhere
 
oanda.JPG

Angalia hii Chat HAPO JUU ya Eur/USD ... CHECK HOW BEARISH trend line nimechora bila tabu from top to down .....

!!"SWEEEET EHHH Ndio maana watu wanasema more successfully FX TRADERS NI WALE WA HIGHER TIME FRAME "
.... kama kungekuwa na Mtu In forex market he/she went short kuanzia hapo kwenye RED ARROW na Kuja kuchuwa Profit Chini kwenye BLACK ARROW angetengeneza profit kubwa sana nadhani asinge trade mwaka mzima...

anyways angalia nilipo highlight BLUE kuanzia 27th Nov till today still bearish movement !! Na itazidi kwenda chini mpaka OIL itulie au kule mashariki ya kati kutulie kimtindo ...

BTW HII DAILY CHART !!

Mmegooogle wee sasa ndio mmeibuka, anyway ahsanten,hizo zote ni copy n paste
 
View attachment 319190

Angalia hii Chat HAPO JUU ya Eur/USD ... CHECK HOW BEARISH trend line nimechora bila tabu from top to down .....

!!"SWEEEET EHHH Ndio maana watu wanasema more successfully FX TRADERS NI WALE WA HIGHER TIME FRAME "
.... kama kungekuwa na Mtu In forex market he/she went short kuanzia hapo kwenye RED ARROW na Kuja kuchuwa Profit Chini kwenye BLACK ARROW angetengeneza profit kubwa sana nadhani asinge trade mwaka mzima...

anyways angalia nilipo highlight BLUE kuanzia 27th Nov till today still bearish movement !! Na itazidi kwenda chini mpaka OIL itulie au kule mashariki ya kati kutulie kimtindo ...

BTW HII DAILY CHART !!

Mkuu Njiwa Habari yako.

Naomba kuuliza kama unamtumia OANDA kama broker wako.

Kingine, kwa hiyo USD/EUR trade, kama unazo Euro unauza basi kwa hiyo trend utapata faida sana kwasababu Doller inashuka na Euro inapanda thamani.

CC. Davion Delmonte Jr.
 
Mkuu bado sijaanza live trading... niko nafanya demo pia nachukuwa lessons from hapa

Complete Trading Education- Forex Military School

pamoja na lessons from scientific forex unaweza download video zao pamoja na indicators ...

kuhusu OANDA nina plan kuanza nao ndio maana nimechagua platform yao nipate kuzoea kilichonivutia hawana minimum deposit s ila sijajua kuhusu lavarage na spread zao inakuwaje ...
 
Kuna sehemu nilisoma wana sema OANDA ni scam.

Umepata reviews za kutosha?
 
kwa wale wanaofuatilia Fx Market au Forex traders watakuwa wali note During ASIAN TIME Soko limetulia sana ... LONDON TIME ... EU/USD ilikuwa iki trend down kuanzia mwanzoni mwa January... nadhani hii vita inayoendelea middle east na ugomvi kati ya SAUD & IRAN ikichangiwa na bei ya mafuta kushuka.... yaani its not a good month for traders at all ...
njiwa vip upo kwenye ulimwengu wa forex? au bado mgeni...
 
Nafukuza ndege shambani.

Nadhani umeshakuwa expert wa nguvu.
Aisee the answer is NO and YES nlidhani nimeshakuwa expert ila nimegundua kuwa successful kwenye hii business kuna mambo mengi sana nyuma, ila sio mbaya naendelea kufunika magap maana naogopa kuanza live bila kujiimarisha vya kutosha maana pesa yenyewe hii ya kulenga kwa manati nikiingia kichwa kichwa nita blow up account.
 
Kuna sehemu nilisoma wana sema OANDA ni scam.

Umepata reviews za kutosha?

mimi broker yoyote ambaye yupo allowed ku operate USA ii take my chances .... and ofcoz sinto invest more than 100$ and i will withdraw kila ikifika 500$ wakizingua ntawahama ....

nawaogopa sana Cyprus Brokers
 
nilikuwa kwenye ulimwengu wa binary options na hawa jamaa wa Online Forex Trading - Currencies, CFD & Spot Trading still nipo nao

ulimwengu wa forex mimi ni mgeni mwenyeji ... I`m trading Demo huku nikijifunza strategies tofauti tofauti ..

kumbe kuna wadau wa Fx humu! .. kama vipi anzisheni Uzi tujifunze ! najua kutakuwa na experts humu we will learn from them
Binary umeweza vipi mkuu? Mi naona it is more gambling.. hata mimi nlikuwa napenda sana ku trade binary one day sema sasa brokers wake kila nikiwa search naona kama most ni scams
 
Kuna sehemu nilisoma wana sema OANDA ni scam.

Umepata reviews za kutosha?
Binary umeweza vipi mkuu? Mi naona it is more gambling.. hata mimi nlikuwa napenda sana ku trade binary one day sema sasa brokers wake kila nikiwa search naona kama most ni scams

pia nataka ku base na EU/USD ONLY!!... i know one jew boy he is very successful na ye ni mtaalamu wa EU/USD basi....! he doesnt trade anything else ... so anaijua hii pair kama amezaliwa nayo
 
Back
Top Bottom