Uchumi wa China waporomoka

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
uchumi wa china waporomoka taasisi za fedha ndani ya china na nje ya china zimesema uchumi wa china umeporomoka kw kasi kubwa sana
kutokana na kuporomoka kwa uchumi wa china watu maefu kwa maelfu wameanza kukosa ajira vile vile masoko ya hisa nchini humo yameporomoka sana
 
Nadhani wakiporomoka china na ccm itaporomoka muda si mrefu, kwa maana mfadhiri wako akifirisika tegemea kufa njaa muda wowote.
 
kwa wale wanaofuatilia Fx Market au Forex traders watakuwa wali note During ASIAN TIME Soko limetulia sana ... LONDON TIME ... EU/USD ilikuwa iki trend down kuanzia mwanzoni mwa January... nadhani hii vita inayoendelea middle east na ugomvi kati ya SAUD & IRAN ikichangiwa na bei ya mafuta kushuka.... yaani its not a good month for traders at all ...
 
Uchumi wao umejengwa kwa Msingi/foundation ya Mabua,kwa hiyo haya yanayotokea sasa si ya kushangaza sana. Pia Serikali ya China imezoea kupika data za uongo kuhusu ukuaji wa Uchumi wao na bila kusahau trend ya Soko lao la Hisa.
 
Uchumi wa China aujaporomoka kasi ya ukuaji wa uchumi ndio inapungua mbona wapo on target serikari ilikadiria 7% na matokeo ni 6.9%, kwao wenyewe wala sio tatizo ndio kwanza serikari yao wapo busy na kuangalia internal consumption (distribution of wealth) for them that is the second phase.

Market wise issue ni global economy China imepunguza industrial exports zake walizokuwa wanategemea cheaply na pia bidhaa kama mafuta, steel industries zilizokuwa zinategemea China kama mteja mkubwa kwa bidhaa hizo demand yake nayo itapungua. Kwa upande wawekezaji wanaolalamika ni watu ambao wasiojua time gani ya kubadilisha investment wako wengi tu duniani na sababu nyingi tu za watu kuwa pessimistic lakini it was coming; this is why there billionaire investors and people who loose money more often know how to calculate your risks and don't depend solely on your investment advisor sometimes they are just after their commission.



How China affects the world economy in 90 seconds
 
1. Overproduction
2. Labour costs go up
Achana na vitabu ambavyo hukuvielewa, tofauti ya asilimia sio kubwa, ni kama haipo tu!
Usitumie kichwa cha habari kujenga hoja, angalia maelezo.

Kama huna, haya hapa!
Amid global market jitters, China has posted its weakest annual economic growth in a quarter century.
Gross domestic product expanded by 6.9% in 2015, China's National Bureau of Statistics said Tuesday. That's in line with the median estimate from
economists surveyed by CNNMoney.
The growth rate is a far cry from China's spectacular expansion in recent decades, but it broadly matches the government's 7% target.
For the fourth quarter of 2015, the economy grew 6.8%, compared with the same period a year earlier. That's a touch below economists' estimate of 6.9% and the slowest rate since the dark days of the financial crisis in 2009.
After years of torrid expansion, the world's second-largest economy is now decelerating. The government is trying to shift the growth engine away from manufacturing and debt-fueled investment toward the services sector and consumer spending.
Uncertainty over the outlook for the Chinese economy, a key driver of global growth, has roiled international markets lately. China isn't buying as many commodities as it once did, and the world is awash with oil -- hurting exporters. The country's currency, the yuan, has fallen against the dollar.
But the growth data released Tuesday didn't appear to trouble investors. The Shanghai Composite was broadly flat in morning trade and later rallied to close up 3.2%. The Hang Seng in Hong Kong gained 2.1%.
Related: Is China cooking its books?
Some observers doubt the accuracy of China's GDP numbers, arguing they are massaged by government officials. Instead, they look at statistics including electricity consumption, railway freight volume and bank loans to gauge growth.
"China's ability to continue to post such rapid and relatively stable growth, even as it has increasingly become a source of volatility in global equity and commodity markets, will undoubtedly attract a great deal of skepticism," said Julian Evans-Pritchard of Capital Economics.
Instead of 6.8%, Evans-Pritchard estimates growth in the fourth quarter was in reality closer to 4.5% -- but stable.
"We still think concerns about China's outlook are overdone and that the recent market volatility has been driven more by sentiment than by economic fundamentals," he said.
Related: China's stock watchdog admits market's problems
China's official growth numbers are expected to slow further in the coming years, a situation President Xi Jinping has dubbed "the new normal."
For 2016, economists are forecasting growth of 6.5%, according to the CNNMoney survey. That's the rate top Chinese officials say is needed to reach the government's goal of doubling the economy from 2010 levels to $12 trillion by 2020.
 
uchumi wa china waporomoka taasisi za fedha ndani ya china na nje ya china zimesema uchumi wa china umeporomoka kw kasi kubwa sana
kutokana na kuporomoka kwa uchumi wa china watu maefu kwa maelfu wameanza kukosa ajira vile vile masoko ya hisa nchini humo yameporomoka sana
weka picha! ila itakuwa vema kama utaweka
takwimu
 
Bado China wapo katika nafasi nzuri uchumi wao haujaporomoka bali ukuaji wake uwekuwa "slow" tofauti na expectations za watu izidi 7%. Uchumi umekuwa 6.9% hivyo unaona sasa it's close to the government expectation of 7%. Wachina sasa lazima watalazimika kubadili aina ya uchumi wao toka kutegemea tu bidhaa za viwandani kwenda service based economy. Unajua sasa hivi number of middle class people in China is rising hivyo watu wanataka maisha tofauti. Huduma bora zaidi za afya, mazingira bora na salama zaidi, entertainment na kadhalika. China sasa inaenda kustaarabika na serikali italazimika kuwa yakidemokrasia zaidi. Hawa midddle class people kawaida yao nikudai zaidi uhuru. Wengi wamesoma na wanaweza kubadili nchi yao. Hengora kwa serikali ya kikomunist kuwafikisha wachina hapo walipo ila sasa msome alama za nyakali raia wenu wameingia katika middle class level watataka zaidi uhuru na transparency zaidi juu ya nchi yao sasa wakati wenu umefika panueni wigo wa demokrasia ruhusu competition in politics wapinzani nao waruhusiwe.
 
Bado China wapo katika nafasi nzuri uchumi wao haujaporomoka bali ukuaji wake uwekuwa "slow" tofauti na expectations za watu izidi 7%. Uchumi umekuwa 6.9% hivyo unaona sasa it's close to the government expectation of 7%. Wachina sasa lazima watalazimika kubadili aina ya uchumi wao toka kutegemea tu bidhaa za viwandani kwenda service based economy. Unajua sasa hivi number of middle class people in China is rising hivyo watu wanataka maisha tofauti. Huduma bora zaidi za afya, mazingira bora na salama zaidi, entertainment na kadhalika. China sasa inaenda kustaarabika na serikali italazimika kuwa yakidemokrasia zaidi. Hawa midddle class people kawaida yao nikudai zaidi uhuru. Wengi wamesoma na wanaweza kubadili nchi yao. Hengora kwa serikali ya kikomunist kuwafikisha wachina hapo walipo ila sasa msome alama za nyakali raia wenu wameingia katika middle class level watataka zaidi uhuru na transparency zaidi juu ya nchi yao sasa wakati wenu umefika panueni wigo wa demokrasia ruhusu competition in politics wapinzani nao waruhusiwe.
Hao jamaa wanafanya vitu kwa mipango China wameshaanza kufikiria hayo unayoyasema muda tu kwa miaka ya hivi karibuni serikari yao imekuwa ikitunga sera nyingi sana zinazochochea ukuwaji wa biashara za ndani zinazomilikiwa na wachina, makampuni mengi ya kigeni yaliyokuwa yanatawala many industries in China yanaanza kunyang'anywa wateja na makampuni ya ndani kutokana na sera za kukuza own industries, asilimia kubwa ya sector nyingi ni 50-50 interms if dominance ya makampuni makubwa na madogo wakati hizo ndogo ndio zinazokuwa na zinamilikiwa na wachina wenyewe.

Matokeo yake kuna biashara nyingi za wageni ziko hatarini kufa ukizingatia biashara nyingi ni za mikopo ndio maana financial markets are worried lakini sio China na wanasiasa wake for the most part labda hofu ni wawekezaji kukosa imani maana markets zinatabia za kufuata mkumbo ndiyo inayoweza kuwa sababu ya wao ku-message ata hizo data maana kuna wengine wanasema uchumi unaweza kuwa ulikuwa kwa asilimi 4.6% ila jamaa wanapika data zao; kwa upande wa China mafanikio ya sera inabidi yaende taratibu utaki watu wakimbie wakati bado unahitaji kukuza industry zako na competition ni kitu muhimu kwenye free market; hila wameshajipanga kisera.

Alama za nyakati pia washazisoma siku hizi serikari ndio inachangia kujenga makanisa makubwa pale inapobidi au ku-promote other ways of thinking ila kuna masharti vitu vingi sana vinaachiwa bila ya kuingilia siasa kwa hivyo concept ya siasa na maendeleo kila mtu anatakiwa aijue na aijabadilika.

Wachina sio waafrika uwezi kuwa na uchumi wa pili duniani kama auna timu ya wataalamu kamili kwenye kila nyanja kuanzia tabia za jamii mpaka wataalamu wa maendeleo pamoja na long term national plans ya changamoto zinazotokana na mazingira ya ukuaji wa uchumi, impact yake kisiasa na kitaifa this is why some nations can maintain there cultures despite development and other cant particularly Africans sisi bado sana ndio maana ni maskini pia.

 
Back
Top Bottom