ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 15,883
- 36,362
Sijui hili pepo Huwa linatoka wapi?
Mnaweza kuwa mpo vizuri mkiwa masikini ila mkianza kufanikiwa ndo mwanamke atajibadilisha na kutamani kupeana talaka
Watu hufikia hatua ya kusema Bora tungebaki masikini tu
Yaani uwezo ukiwa vizuri, mkipata ka gari, biashara nzuri, watoto wakasoma shule nzuri, Maisha yakapendeza na hapo pepo la talaka na mitafaruku huibuka