Halafu kumbe huyu ndio yule miss natafutwa kabadili i'd hhhahHha😂😂😂😂😂😂😂😂😂Nusratt Ukiwa Muongo Uwe na Kumbukumbu 👉Ninapitia msongo mkali wa mawazo baada ya kusimamishwa kazi kisa vyeti feki. Naomba ushauri niweze kujikwamua
Mtazamo wanguAmesema kila kitu kitapatikana ndani ya ndoa.
Na ndoa ni mpaka ajipange
😂😂Wanawake bana! Yaani hakuna muoaji afu amhudumie yeye na ndugu zako?. Kwelie adui wa MWANAMKE na Mwanamke mwenyewe.Hakuna muoaji hapo
La tano saiviWe bana beba mimba au atakuambia uitoe? Miaka 11 mtoto wenu angekua la 3 sahivi 😁
Niliposoma kwamba alikuwa anajiuza nikakumbuka story ya miss natafutwa.Ni Miss natafutwa kabadili jina,.
Ila Jf😂
Unasomea PhD🤣🤣🤣🤣🤣🤣Binafsi niko kwenye uchumba tangu mwaka 2014.
Ninahudumiwa kila kitu.
Kuanzia kula, kuvaa, matembezi na hata mitoko mbalimbali.
Tatizo nikimgusia suala la ndoa, anasema tujipange kwanza.
Tujipange mwaka wa 11 huu? Na hata mtoto hatujazaa?
Kuna dalili ya ndoa kweli hapa?
Nimechunguza kila mahala, kiukweli hana mtoto wala mwanamke mwingine, ila kwanini uchumba umekuwa mrefu hivi?
Wenzangu mlioolewa mlifanyaje mpaka ndoa zenu zikafungwa mapema?
Naombeni mbinu mlizotumia ili na mimi niweze kuzitumia katika mahusiano yangu.
Mbarikiwe na muwe na asubuhi njema.
Nusratt Mohamed.
Ila wanawake tunahangaika AiseeNiliposoma kwamba alikuwa anajiuza nikakumbuka story ya miss natafutwa.
Dah hayaaa
Kwa maana hiyo mnajilinda usipate mimba? unatumia uzazi wa mpango au kinga?Amesema kila kitu kitapatikana ndani ya ndoa.
Na ndoa ni mpaka ajipange
Kwanini jamaa hataki kupata mtoto? Yes hakuna muoaji na likitokea la kutokea mke anafukuzwa kama mbwa maana hana haki yoyote hapo. Makaratasi ni muhimu.😂😂Wanawake bana! Yaani hakuna muoaji afu amhudumie yeye na ndugu zako?. Kwelie adui wa MWANAMKE na Mwanamke mwenyewe.
halafu huyu sio mwanamke,ni dume limekaa hapo maghetoni Kindondoni Biafra linatuchora humuHaya Nusratt jibu mashtaka hapa
anachofanya ni uasherati sio uzinzi mkuu.Acha uzinzi ni chukizo kwa Mwenyezi Mungu
We endelea kupumzika, miaka 11 hahitaji mtoto na wewe utakuja kuona picha za harusi, yuko na wewe huku anatafuta mtu sahihi kwake wa kuwa mama wa watoto wakeHahitaji mtoto mpaka tujipange.
Tunaishi maisha mazuri tu.
Ni huyu ana matatizo. Kwanza ukute ni chai hii...nashushia na kiporo cha ndizi maharage hapaIla wanawake tunahangaika Aisee
Mie niko na Makande hapa ngoja tusogee sogee nayo hivyo hivyoNi huyu ana matatizo. Kwanza ukute ni chai hii...nashushia na kiporo cha ndizi maharage hapa
Wanawake wengi wanachanganya kati ya ndoa na harusi,nadhani kama ni ndoa ni simple tu gharama yake haizi 200,000/= ila kama una ndoto za harusi endelea kuvumilia Hadi uzeeke. Wanawake hupenda harusi as a matter of show off,hili linawagharimu sana na kupelekea kukosa wanaume sahihi . think bigBinafsi niko kwenye uchumba tangu mwaka 2014.
Ninahudumiwa kila kitu.
Kuanzia kula, kuvaa, matembezi na hata mitoko mbalimbali.
Tatizo nikimgusia suala la ndoa, anasema tujipange kwanza.
Tujipange mwaka wa 11 huu? Na hata mtoto hatujazaa?
Kuna dalili ya ndoa kweli hapa?
Nimechunguza kila mahala, kiukweli hana mtoto wala mwanamke mwingine, ila kwanini uchumba umekuwa mrefu hivi?
Wenzangu mlioolewa mlifanyaje mpaka ndoa zenu zikafungwa mapema?
Naombeni mbinu mlizotumia ili na mimi niweze kuzitumia katika mahusiano yangu.
Mbarikiwe na muwe na asubuhi njema.
Nusratt Mohamed.
Hapo tayari huyo ndio mumeo labda wewe uzingue... Samahani kwa ushauri mbaya niliotoa kwenye comment za mwanzo.Kanifungulia duka kubwa la jumla.
Na yeye ni mwalimu wa sekondari.
Sio kama mimi ni tegemezi, hapana.
Ninajimudu mahitaji yangu.
Na huoni kama nikimbebea mimba ndio nitakuwa nimejifukuzisha?