Kama wewe hujajitambua huwezi kuelewa..............sijakuelewa bana
Magari si tu kwamba yamesababisha mitoko isifanyike majumbani, lakini pia yamesababisha ifanyike bila kuwashirikisha wazazi. Gari siku hizi limebadilishwa kuwa kitanda kinachotembea chakufanyia ngono wakati wa mitoko.Vijana wadogo sio kwa hapa nchini tu bali hata huko katika nchi za magharibi na ulaya wamejinyakulia uhuru mkubwa mno kutoka kwa wazazi wao, na kuzipondoponda chini mila na desturi ambazo ziliweka misingi imara katika kulinda maadili ya uchumba kwa vijana.
Lakini pia Teknolojia mpya na matumizi yake mabaya nayo imechangia kwa kiasi kikubwa kusambaratisha mila na desturi zetu zilizokuwa zikilinda maadili yetu. Simu na mitandao ya mawasilano, ni moja ya mabadiliko yaliyotufikisha hapa.
Ni sahihi kabisa kila kitu kimeathiriwa na utandawazi si masuala ya mahusiano pekee. Enzi za zamani ilikuwa mpaka siku ya harusi ndiyo wanandoa wanado lakini siku hizi mpaka bibi harusi aidha atoe mimba au afunge akiwa mjazito lakini hili si kwa wote wajameni. Hilo tu ni kiashiria tosha kuwa mambo yamebadilika sana na hata ukienda katika mambo mengine ya kijamii maadili yameshuka vibaya mno.
Magari si tu kwamba yamesababisha mitoko isifanyike majumbani, lakini pia yamesababisha ifanyike bila kuwashirikisha wazazi. Gari siku hizi limebadilishwa kuwa kitanda kinachotembea chakufanyia ngono wakati wa mitoko.Vijana wadogo sio kwa hapa nchini tu bali hata huko katika nchi za magharibi na ulaya wamejinyakulia uhuru mkubwa mno kutoka kwa wazazi wao, na kuzipondoponda chini mila na desturi ambazo ziliweka misingi imara katika kulinda maadili ya uchumba kwa vijana.
huyo dem alijishushia heshima ivo?dah huyo ni cheapest not cheap.Hii ni Kweli kabisa mtambuzi manake kuna kipindi wakati naishi pale mabibo hostel, kulikuwa na gari katika angalia yangu vizuri nikaanza kushangaa gari (lilikuwa tinted hivyo huoni ndani) linanesanesa yaani juu chini, juu chini mwanzo mwisho na baada ya kama nusu saa akatoka dada na pande la mtu "libaba" na kama haitoshi hapo wakakumbatiana na kula denda. Nikahisi tu hawa watu walikuwa wana.........