Uchumba kuvunjika ...kisa HARUSI

Tuache utani, yeye kama anapenda show off, afanyiwe kwao kitchen part na send off kubwa ya kukatia ngebe....... Ili kwenye kufunga ndoa awe mpole.
 
Mkuu mshkaji afanyaje?amteme mchumba wake au?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakubaliane wafuate mawazi ya Mzee, mimi pia siafiki sherehe, zinagharimu sana na kulazimisha watu wakuchangie, mnabaki na madeni kibao, hivi inashindikana kwenda kanisani na baada ya hapo chakula cha jioni nyumbani au mahari Fulani bila sherehe kiasi hicho! Ingekuwa Mimi akikataa nampiga chini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Mzee namuelewa sana! Ndoa nyingi za kifahari zimevunjika siku chache tu baada ya kutoka fungate so huyo kijana afuate mawazo ya Mzee wake
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Furaha gani unayotaka kulinganisha na mpira, kazi au kahawa? Furaha kwani alijua kama ataolewa afanye sherehe? Hizo ni mbwembwe za kutaka kuingiza madeni na gharama kwa familia ya kijana!
Halafu ieleweke harusi ni ya mwanaume sasa how mwanamke alazimishe sherehe as if yeye ndie anaeoa?
Mkuu lakini si wote,Kuna wengine hili tuu ndo furaha yao...Kama wengine football,kahawa,kazi(workholic) nk

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I wish huyu mzee angekuwa baba yangu, tungeelewana sana aisei.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa na harusi ni vitu viwili tofauti.

Kuna mabinti lengo lao kuingia ktk NDO ni wanataka HARUSI tu, na sio hilo agano lenyewe la ndoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tusiwashambulie mabinti tuu ...wako wanaume pia hi kitu wanaipenda...yaani harusi,kwani hujasikia kuhusu beg party (sijui Kama nimepatia,[emoji3])

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…