Uchumba gani huu?

ney1

Member
Joined
Dec 1, 2014
Posts
25
Reaction score
6
Rafiki yangu kapata mchumba huku facebook wamependa kinacho mshtua wamefahamiana, wana wiki 1 jamaa anataka ndoa iwe mwezi wa 2. Pia anataka wiki ijayo akajitambulishe kwao binti na kutoa mahali siku hiyo hiyo. Rafiki yangu kamwambia wachunguzane kwanza! jamaa kasema kachoka kukaa peke yake anachoitaji kuoa kama kuchunguzana wachunguzane mwezi mmoja.

Mwanzo rafiki yangu alimwambia anabint wa miaka 7, baada ya kumbana sana akamwambia ana watoto 3 mama tofauti mh!! jamani naombeni tumshauri asanteni wote!
 
Sasa tumshauri kuhusu huyo jamaa kumuoa mwezi wa pili ama kuhusu kuwa na watoto watatu? Kuwa wazi tukushauri unachotaka
 
Msimamo wa huyo rafiki yako ukoje juu ya mchumba wake, some times kukaa muda mrefu kwa maana ya kuchunguzana huwa inageuka na inakuwa kugegedana ndo maana wengi hujikuta baada ya ndoa wanasema hakuwa chaguo langu kitu ambacho kinatuchanganya sisi wapenda ubweche maana unakuta wamekaa almost 3 years halaf wanapoingia kwenye ndoa maneno ya hakuwa chaguo langu ndo yanaibuka
 

Mapenz ya mitandao yanashida zake nyingi, mwambie mwenzio asikurupuke
 

Unaweza kuwa mtego wa kupata p ya bure fasta bila masharti, amwangalie maana ataacha kuongelea kujitambulisha na kuendelea kupotezea taratibu. Atulie na kuangalia upepo kwanza asiwe na papara.
 
Sasa alivomwambia ana watoto 3 jamaa bado anang'ang'ania ndoa? Kama ndiyo wafunge tu kama washapendana
 
Huyo P atakuwa kashatoa siku nyingi....itakuwa ilikuwa tamu jamaa akaona achukue jumla jumla. Lol

Kama amempa basi kampa ila ndo aangalie upepo na baada ya 3 months akacheki afya. Wanaume wanaozaa na watu zaidi ya wawili huwa hawatulii na ni ishara hatumii kondomu kujikinga na maradhi yani hajali. Na ajiulize hao wenzie wana tatizo gani pamoja na kumzalia akawaacha. Hata akuweke ndani hutaishiwa presha
 
Wameimbishana fb, ushauri na kitchen party- jf, ndoa twitter! honeymoon wasap! maisha wayaishi wapi? washaurini jamani... sio wote wanaolelewa na wazazi! hawa wanalelewa na kufunzwa na mitandao- waishi kimitandaotandao...kama watadumu!
 
kwani yeye mwenye ndoa tarajiwa amesema anataka ushauri au kihere here chako kuivalia shera harusi ya mwenzio na ushauri anataka katika section gan
a) watoto watatu
b) mama tofauti
c) ndoa mwezi wa pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…