Uchoyo mbaya jamani

Uchoyo mbaya jamani

''ukanigwa?''
kweli umekaa na wasukuma..ahahahah
hongera kwa kupata funzo
 
Wewe ulikuwa bado mtoto kwahiyo sikulaumu

Ila kwa mtu mzima kuwa mchoyo kwa kweli si tabia nzuri, tujitahidi tusiwe wachoyo

Hata kama kidogo tugawane hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom