Uchoyo mbaya jamani

Uchoyo mbaya jamani

hahaha! Hongera,ila uchoyo wowote siyo mzur isipokuwa wa naniliu tu....! Ila ukishaoa/kuolewa kumnyima mwenzio siyo vizuri.
 
hahahaha shemeji pole sana Mungu alikuwa anakuandaa ili uje kuolewa na Msukuma maana mchoyo kwetu nisawa na mchawi."....Bwana atakutafutia msaidizi wa kufanana nawe"
 
Stori yako nazifananisha na stori za binti yangu anisimuliazo kila akitoka shule...
 
hahaha! Hongera,ila uchoyo wowote siyo mzur isipokuwa wa naniliu tu....! Ila ukishaoa/kuolewa kumnyima mwenzio siyo vizuri.

Kweli kabisa mkioana kushiriki Meza ya Bwana ruksa."......msinyimane kwani mwanamke hana amri juu ya mwili wake wale mwanaume hana amri juu ya mwili wake.."

Back
Top Bottom