Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,285
- 108,302
Hata mi ni binti yako
Sina binti wa kiarabu miye
Hata mi ni binti yako
Lipo nakupa homework uliziaa utalipataa!!!au muulize watu8
Min mwenyewe mwenyejii?!!
Unastajaabu ya Phlagiey? utayaona ya miss chagga
Natamani kulijua hilo kabila, ndio nimejua leo wazee kutengana vitanda duh kumbe Tz kubwa
Huko haujanipeleka maana najua unachotaka!
Hii kwa wachaga ipo sana.
Aliekuambia mie mwarabu naniu!!!!!!!!