mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,477
- 21,023
Hahahhhha nishaachaaa
hope nikija utanipa............!!
Hahahhhha nishaachaaa
Muke ya musukuma, pole na hongera. ila usisahau kuwafundisha wanao waache uchoyo, mara nyingi hizi vitu ni inborn ucje ukwawa uliwarithisha chembe chembe ndogo za uhai zenye tabia ya uchoyo!!!
haya mukeHahhhhahhha hapana nadhan ni utoto toka nikue mi na uchoyo mbali mbaliiii
Je nyoka ya kikubwaaa hutumiii hahhhha
Mbona samaki wapo poa tu, wanafanana na nyoka tu na si nyoka yaani kama Kima anavyofanana na Tumbiri, jaribu huyu samaki kwenye picha chini uone alivyo mtamu (unamjua anaitwaje huyu? hii ni KAMONGO)
View attachment 148502
Kumbe wewe ni wa pande za kule za Oldosambu, Meserani mpaka ile wilaya iliyotoa mawaziri wakuu wawili, napenda sana jinsi mnavyojali mila zenu kama na wewe ni wa huko maana ndio najua kabila ambalo halitumii hii kitu unless kama kuna lingine (Asili na mila zetu haziruhusu kutumia hii kitu mkuu,,, so hata awe mtamu vp siwezi kujaribu!!
Kumbe wewe ni wa pande za kule za Oldosambu, Meserani mpaka ile wilaya iliyotoa mawaziri wakuu wawili, napenda sana jinsi mnavyojali mila zenu kama na wewe ni wa huko maana ndio najua kabila ambalo halitumii hii kitu unless kama kuna lingine (