Uchomaji wa vifaranga wa Kenya ulikuwa sahihi kwa usalama, tuache siasa

Kalagabao. Jpm hasafishiki hata kwa lake. Swala ni kuharibu diplomasia ya kiuchumi baina ya Tanzania na Kenya. Ukiharibu uchumi unashuka tremendously Kama iliyokuwa kipindi Cha shetani. Unajisumbu we sukuma gangus
Hahaha unaweweseka, pamoja na kwamba Rais Samia ni Mwenyekiti wangu ila kuna vitu anakosea sana. Sada kama wewe unasema wenzako hawajui hebu sema sasa inakuwaje kwenye nchi hiyo hiyo rais tena mwenye vyombo vyote vya ulinzi na usalama, mwenye mamlaka ya kikatiba kukatiza uhai wa kiumbe yeyote na hana kesi anasema “tulikosea sana kuchoma vifaranga” ili kuwafurahisha majirani zetu mabeberu na leo hii nchi kwake wananchi wake anaowamiliki wamechoma vifaranga tena mchana kweupe?

Je ajichukuliaje Rais Samia? Hii ni moja ya jambo la aibu sana kwake ajue kabisa baadhi ya maamuzi yake ni ya ovyo kabisa kama alivyosema JK kuwa iwapo kama mambo yakiwa mabaya CCM haitasita kumuengua kugombea 2025 na hii ya kuku ni dalili moja wapo ya kuwa hafai 2025 maana kuna vitu anakurupuka kwa kudanganywa na wasaidizi wake wasiomtakia mema
 
Hiyo sheria alitunga mamako? Usitutukanie rais wetu mbumbumbu mamako aliyezaa mbumbumbu km wewe. Msipomtukana rais wetu hamridhiki mmemuona mstaarabu mnafikiri ni dhaifu. Huyo wa kwenu ameshakufa mmfuateni kuzimu. Shenz hamna adabu.
Nakuona mvaa kobazi umefura!

Jiandae pia kulipa til. 30 mliyokopa na huyo rais wenu ndani ya miezi 6
 
Wewe unaelewa hata tax base maana yake nini. Serikali haiwezi kutegemea a single source ya flow ya pesa hasa serikali makini Kama ya Dr samia
Eti makini!

Makini kwa kukopa til. 30 kwa miezi 6?
 
Back
Top Bottom