Uchomaji wa kadi za CCM

Machadema yameuzwa kwa jumla na Mbowe, now wamebakisha matusi ndio jambo kubwa wanalolijua..ovyo sana hiki kikundi cha waganga njaa.
 
Waza kwa kichwa, usiwaze kwa makalio ambayo kila siku yanamegwa na hao mabwana zako.
 
Uchomaji unaendeleaje wajameni....?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Please, don't giggle!

Hili ni swali muhimu sana kwa sababu tunakata ikifika 2019 CCM ibaki na watu wawili ambao ni 'Ngosha na Bashite'!

Kama isingekuwa Kinana kuwekwa kizuizini, kwa sasa angekuwa amesharudisha kadi ya CCM!

Kwa sasa tunaye kibindoni Wema Sepetu na Mama yake, bado Steve Nyerere na kundi lake la Bongo Movie!

Hizi siasa za kwenye Instagram zina vituko! Watu wazima na akili zao 'timamu' wanalishana ujinga!
 

Ni beyond vituko.

Ni umajinuni kabisa.

Kubwa kuliko ni pale unapoona watu wanaojipambanua kuwa ni watu wenye 'akili' wakiunga tela la huo umajinuni!

Poor them....they can't think for themselves.
 
Uchomaji unaendeleaje wajameni....?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Rudisheni mikutano muone makamanda wakizungukia M4C wanavyoifuta ccm na kadi kuchomwa kma njugu!!!

Sasa mikutano hamna hao wanaccm unawapa hoja saangapi ili wakubali kuhama chama
 
Yaani mnazuia mikutani ya siasa afu mnaanza kujisifia kuretain wanachama?? Si muweke fair ground muone kma zile operesheni za M4C zitawaacha ccm salama
 
Vipi, ile operesheni choma kadi za uanachama wa CCM imefikia/ imeishia wapi?

Ni kadi ngapi zilichomwa?

Naona kalikuwa ni kaupepo tu ambako kameshapita na kwenda zake huko



kalikuwa kamsimu tu,
 
...
Hizi siasa za kwenye Instagram zina vituko! Watu wazima na akili zao 'timamu' wanalishana ujinga!
Ndiyo tunashuhudia tofauti ya chadema ile na hii ya leo isiyojua hata inachosimamia. Kuna mambo ambayo huwezi kuyatetea bila kujitoa ufahamu. Tukihoji kulikoni tunaambiwa no permanent friends... Usishangae kesho vijana hawa wanaomtakia kila baya Makonda wakageuka kumuimbia kila pambio la sifa kama ilivyo kwa lowasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…