Uchomaji wa kadi za CCM

Nimekuelewa mkuu ndo mana nakwambia cyo kwamba napinga kila kitu, kuna uzi niliuleta wa kuhoji haya maandamano na mikutano kibali katoa nani? Ivyo naelewa hoja yko ambyo ni usawa kwa vyama vyte...anyway nimekupata...
 
Mi nadhani zishaisha naona yale ya kibiti ndo kilikuwa kifuatacho
 
Nyie watu wadogo na msio na akilizenu timamu,lishaneni ujanja !
Msihangaike na wanaolishana ujinga,inawauma nini ?
 
Ungeuliza kuna watu bado wana kadi za Machadema watetezi wa wazungu?
Wewe ndio uliza hilo la Machadema. Mimi nimeuliza chama cha akina Bashite. Don't be a moron and divert from what i said.
 
Zaidi ya mwaka sasa umepita!

Vipi, zoezi bado linaendelea?
 
Nani alikwambia watu wanakadi za vyama,? Ukiona wanazirudisha majukwaani ujue wamepewa siku hiyo hiyo zikiwa na kitu kidogo katikati
 
Vipi, ile operesheni choma kadi za uanachama wa CCM imefikia/ imeishia wapi?

Ni kadi ngapi zilichomwa?

Naona kalikuwa ni kaupepo tu ambako kameshapita na kwenda zake huko[emoji23] [emoji23]
Zidumu fikra za mwenyekiti
 
Nani alikwambia watu wanakadi za vyama,? Ukiona wanazirudisha majukwaani ujue wamepewa siku hiyo hiyo zikiwa na kitu kidogo katikati
hajui mbinu za ccm huyu. ukienda wenyewe wanakwambia kabisa uchague tukupe kadi ya mwaka gani.
 
Jamaa boya weye! Upo tuuu! Wananchi wanalalamika uchumi hovyo we unakenua kuichekea CCM. Such a very hopeless fella!
 
Huku kwetu njaa hakuna ndio kwanza mahindi yanashuka bei kila kukicha.
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…