Papushikashi JF-Expert Member Feb 28, 2016 10,912 13,230 Jul 12, 2016 #3 Huyo mdudu huwa sitaki mazoea nae hata kidogo
Red Scorpion JF-Expert Member Feb 1, 2012 5,736 4,252 Jul 12, 2016 #4 Huyo ngedele / nyani hamjui huyo mshikaji?
M mangatara JF-Expert Member Jul 6, 2012 14,517 14,144 Jul 12, 2016 #5 Wote mbona ni mali ya mtu? Ngedere amefungwa kamba na kobra katoka kwenye hicho kikapu. Wanazoeana ndo maana kobr Haja jaza mate
Wote mbona ni mali ya mtu? Ngedere amefungwa kamba na kobra katoka kwenye hicho kikapu. Wanazoeana ndo maana kobr Haja jaza mate
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,715 729,854 Jul 12, 2016 Thread starter #6 mangatara said: Wote mbona ni mali ya mtu? Ngedere amefungwa kamba na kobra katoka kwenye hicho kikapu. Wanazoeana ndo maana kobr Haja jaza mate Click to expand... Ila hanaga simile huyo ngoja azinguke uone
mangatara said: Wote mbona ni mali ya mtu? Ngedere amefungwa kamba na kobra katoka kwenye hicho kikapu. Wanazoeana ndo maana kobr Haja jaza mate Click to expand... Ila hanaga simile huyo ngoja azinguke uone