I really dislike (let me be polite) mtu anaye-assume kila mwenye jina la ki-islam ni muislam. or V/V. What makes you think Mahmoud ni muislam? unajua kuna watu wamelelewa na waislamu kwa sababu ya uyatima au Changamoto nyinginezo za maisha..wakaamua ku-assume the so called majina ya ki-slamu yet they got nothing to do with that faith? same kwa waKristo? Agustino Ramadhani (former bishop of Zanzibar rings?)..wako wengi sana....tuu
Utaitendea haki nafsi yako na wengine kama utaelimika ujue kwamba dini na majina ya watu havina uhusiano. Ni mapokeo tuu. Katika familia yangu...... Mzee ni Msabato mzuri tuu. Mimi ni RC-(tena mseminary), dada anayenifuata ni Muislamu wa swala tano.......nk. Yet upendo upo wa kutosha tuu. Watu kama nyinyi ndo mnatuletea matatizo na mifarakano kwenye familia na jamii zetu kwa sababu ya assumptions zisizo na mashiko.
Masanja