Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mzee Mwanakijiji na Mzee Mohamed Said, poleni sana na mjadala huu, nawaomba sana wazee wangu nyinyi punguzeni jazba, nyinyi ni alama ya sauti kuu ya mnakasha huu, masihara ni mazuri kwenye mjadala kama huu lakini yasiende mbali.

Turejee kwenye meza yetu ya mnakasha.
 
Mzee mwanakijiji ovyoooo!!! wakati bwana Mtume (S.A.W) akiishi Makka alikuwepo mtu mmoja akiitwa Amru Ibn Hisham. Alikuwa mpingaji mkubwa wa Mtume (S.A.W) na washirikina walimuona ana akili sana. Bwana Mtumwa (S.A.W) akasema sisi waislamu tumuite Abu Jahil/Baba la Ujinga.
Mkuu umenikumbusha mbali yaani kumfananisha mzee Mwanakijiji na Abu Jahal wala hujakosea, siku moja Amru Ibn Hisham na wenzake walikuwa wamekaa palee Darul nadwa kwa sasa hivi ni sawa na bungeni Dodoma wakawa wanapanga jinsi ya kumuua mtume Mohamad (SAW) akawa anawaambia wenzake ongeeni taratibu Mungu wa MOHAMAD asitusikie na ndio kuanzia hapo mtume mohamed(SAW) akamuita Abu Jahal(baba wa wajinga)
 
Hata wewe umeleta mipasho mingi humu kwenye hii thread tumekunyamazia,huyu Mwanakijiji anachuki sana na uislamu wewe fuatilia post zake nyingi ambazo ametuma huku jf.

Utaona alivyokuwa mnafiki na mpaka ukiona mzee anamtahadharisha ujue huyu jamaa amefika pabaya, mzee Mohamed Said si wakuzungumza maneno makali kiasi hicho amekasirika MK kuwa mstaarabu na uwe na adabu kwa wakubwa zako na ufiche upumbavu wako na uoneshe ustaarabu wako sawa mkuu
.
Haya ni majungu!
 
Zumbemkuu hivi katika hii nchi mumemuona mzee MS ndio mchochezi, ngoja nikuulize swali hivi unaweza kunitajia kiongozi aliye sema nchi hii haita tawalika hivi unaweza kunionyesha mahali mzee MS amesuguana na serikali au ukisema nchi haita tawalika sio uchochezi lakini ukiandika hitoria ya kweli ndio uchochezi?

.......

Ni bora sana kwa wanaosuguana na serikali kuliko uovu anaofanya Mohamed Saidi. Huyu anawagonganisha watanzania wakosane na hatimae wauwane kwa misingi ya imani zao!
 
Wala mimi sijaona hoja ambayo mzee ameshindwa kujibu ila naona mumezidisha kejeli, Nguruvi3 wewe ni mtu mdogo sana kielimu na kihistoria kwa mzee MS hizi habari zako za ku copy na ku paste ndio unafikiri zitamkimbiza mzee huku la hasha hayo ni mawazo mgando unaweza ukwa na akili lakini akili yako ikawa haiko salama hebu jichunguze vizuri mkuu
Wewe kama wewe hutaona chochote kibaya juu ya huyu mzee muovu kwa kuwa unamuangalia kwa jicho la uislam na si vinginevyo!
 
nakubaliana wewe MK ndie mdini no,1 na chuki yake ipo wazi juu ya waislam posti zake zinatosha kuwa shahidi,jambo baya wakifanyiwa waislam na serekali waislam wakatetea haki yao huwa upande wa serekali lakini jambo kama lile wakifanyiwa upande wa pili (chadema) huilani serekali inakandamiza raia wake.
Hii ndio dalili tosha ya kuzidiwa na uzito wa hoja! pole sana kijana, msitafute visingizio, tafuteni majibu sahihi kwa matatizo yenu!
 
Nguruvi,

Nimetulia sana.Nimekuwekeeni hapa mambo ambayo msingepata kujua hata siku
moja.

Mambo ya ndani kabisa katika historia ya uhuru wa Tanganyika.Lakini mtu akitaka kunivunjia heshima yangu haraka namtahadharisha.

Niulize kwa adabu niko tayari kukueleza na kukupa habari za ziada.Lakini ukiniletea upuuzi matokeo ndiyo hayo.

Najua husda imeingia.Hamkuzoea kusikia taarifa kama hizi.

Ndiyo maana habari za Kaunda, Kenyatta, Seaton kwenu zimekuwa kama radi ya saa saba mchana na hakuna mawingu.

Hii ndiyo hatari aloiona Prof. Haroub Othman na ikamvuruga akili ila yeye juu ya mapenzi yake kwa Nyerere hakunihamakia na kunitukana.

Alikwenda kwa baba yangu kutafuta ukweli na ukweli aliupata.

........

Mohamed Said, taarifa huwa hazimilikiwi na mtu mmoja, wala hutaweza kutudanganya kwamba ulichokileta hapa ulikijua wewe peke yako!ndio maana ulileta maandishi ambayo mengine hayakuwa yako.
 
Nikweli kabisa, hili tulikemee sana.

Hili nilijua utalisupport wewe na kile chama cha maandamano ni uji na mgonjwa nakukumbusha kidogo bwana mdogo mpaka sasa hivi kitabu hichi ambacho unakiita cha uchochezi hakija sababisha mauaji, hao wanasiasa hasa wa hicho chama chako walisababisha damu kumwagika Arusha nani bora?na ninakumbuka siku ile ya mkutano pale NMC nilikuwepo Dr slaa alisema "Hivi munakubali mwenyekiti wenu akawekwe ndani? watu wakasema hatukubali ndipo watu wakatoka kuelekea kituo cha polisi yaliyo wakuta wanajua wenyewe!swali kwako Yericko, Mzee Mohamed said na Dr Slaa nani mchochezi?
 
Hili nilijua utalisupport wewe na kile chama cha maandamano ni uji na mgonjwa nakukumbusha kidogo bwana mdogo mpaka sasa hivi kitabu hichi ambacho unakiita cha uchochezi hakija sababisha mauaji, hao wanasiasa hasa wa hicho chama chako walisababisha damu kumwagika Arusha nani bora?na ninakumbuka siku ile ya mkutano pale NMC nilikuwepo Dr slaa alisema "Hivi munakubali mwenyekiti wenu akawekwe ndani? watu wakasema hatukubali ndipo watu wakatoka kuelekea kituo cha polisi yaliyo wakuta wanajua wenyewe!swali kwako YERICKO X Mzee Mohamed said na Dr Slaa nani mchochezi?

naona kijana unatafuta ban kwa nguvu zote, muda si mrefu utakula ban...
 
Hili nilijua utalisupport wewe na kile chama cha maandamano ni uji na mgonjwa nakukumbusha kidogo bwana mdogo mpaka sasa hivi kitabu hichi ambacho unakiita cha uchochezi hakija sababisha mauaji, hao wanasiasa hasa wa hicho chama chako walisababisha damu kumwagika Arusha nani bora?na ninakumbuka siku ile ya mkutano pale NMC nilikuwepo Dr slaa alisema "Hivi munakubali mwenyekiti wenu akawekwe ndani? watu wakasema hatukubali ndipo watu wakatoka kuelekea kituo cha polisi yaliyo wakuta wanajua wenyewe!swali kwako YERICKO X Mzee Mohamed said na Dr Slaa nani mchochezi?

Zingatia sheria za jf ili usikumbane na lungu la Mods,

Kuniita Yericko X ni kinyume na miiko na maadili ya jf.

Kwaheshima ya jukwaa na wanaotufuatilia hapa, nakusihi ulifute hilo neno hapahapa nakuwaomba radhi wasomaji wetu kisha tusonge mbele ndugu.
 
MM,

Fitna ni hii:

Thesecond book is by Dr John C. Sivalon, who in his expose, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, [1]unmasks a conspiracy in the government to subvert Islam. Sivalon revealed thatthe Catholic Church as far back as 1961 was worried by two prospects. First,was the unity between the Muslim madhheb(sect) of Sunni, Bohora, Ismailia and Ithnasheri in Tanganyika; and the second,was the transfer of the headquarters of the East African Muslim Welfare Society(EAMWS) from Mombasa to Dar es Salaam. endThe Church was worried that the resources in the hands of rich Asian Muslim community in East Africa, coupled with the political power of African Muslims, particularly in Tanganyika, wouldanger Christian interests in East Africa. The Church therefore declaredIslam as its enemy in the country and plotted to thwart its progress.[2]
[1] John C. Sivalon, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara1953 Hadi 1985, (Ndanda, 1992).
[2]Ibid. p 37.
Mohamed,'
Huo mstari mwekundu umeurudia mara khamsa ishirini na kitu. Hakuna mahali popote pale kwenye kitabu cha Dr John C. Sivalon ambako anaashiria conclusion hiyo. The church has never declared islam as it's enemy. Sijaona mahali popote pale.
 
Zumbemkuu hivi katika hii nchi mumemuona mzee MS ndio mchochezi, ngoja nikuulize swali hivi unaweza kunitajia kiongozi aliye sema nchi hii haita tawalika hivi unaweza kunionyesha mahali mzee MS amesuguana na serikali au ukisema nchi haita tawalika sio uchochezi lakini ukiandika hitoria ya kweli ndio uchochezi?

Naona Chadema inawanyima usingizi. Na bado!
 
Mzee Mwanakijiji na Mzee Mohamed Said, poleni sana na mjadala huu, nawaomba sana wazee wangu nyinyi punguzeni jazba, nyinyi ni alama ya sauti kuu ya mnakasha huu, masihara ni mazuri kwenye mjadala kama huu lakini yasiende mbali.

Turejee kwenye meza yetu ya mnakasha.
acha wazee watwangane kidogo, ndo raha ya kijiweni,
 
Hivi kama hauna taasisi za kupewa misamaa ya kodi unataka watu/serikali ije kuwagawia hela kweli? Anzisha taasissi alafu isipewe msaada then dai haki yakooooooooo!!
 
Hivi kama hauna taasisi za kupewa misamaa ya kodi unataka watu/serikali ije kuwagawia hela kweli? Anzisha taasissi alafu isipewe msaada then dai haki yakooooooooo!!

.......

Wao hilo hilo haliwahusu, wanachotaka ni MOU tu bila kujua uhalisia wa hiyo MOU.Wanahisi ni pesa ya walipakodi wa tanzania kumbe ni ya wajerumani.
 
Zingatia sheria za jf ili usikumbane na lungu la Mods,

Kuniita Yericko X ni kinyume na miiko na maadili ya jf.

Kwaheshima ya jukwaa na wanaotufuatilia hapa, nakusihi ulifute hilo neno hapahapa nakuwaomba radhi wasomaji wetu kisha tusonge mbele ndugu.

Ok nimekubali kosa pengine ni jazba sawa mkuu naomba basi unijibu swali langu
 
naona unatumia akili za kushikiwa,
wee hujui ni sifa kutemewa mate ni mzungu?
mbona Rais wako anatemewa mate asaiv na bado anachekacheka tu?

......

Unawaibisha wasambaa wenzako. Kutemewa mate na mzungu ndio sifa?

Waulize wa babu zako kwanini watoto wa kisambaa enzi hizo za mjerumani hawapendi kukatizia pale kilichokua chuo cha mahakama ambapo enzi hizo ilikua Deutch Schule.

Kama walikua wanapenda kutemewa mate kwanini wasitumie ile njia ya mkato kutokea Kituja kwenda Mbula?
 
  • Thanks
Reactions: Ami
Unawaibisha wasambaa wenzako.
Kutemewa mate na mzungu ndio sifa?
Waulize wa babu zako kwanini watoto wa kisambaa enzi hizo za mjerumani hawapendi kukatizia pale kilichokua chuo cha mahakama ambapo enzi hizo ilikua Deutch Schule.
Kama walikua wanapenda kutemewa mate kwanini wasitumie ile njia ya mkato kutokea Kituja kwenda Mbula?
teh teh teh teh! Darwin bana!
unanielewa tofauti kabisa, pole sana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom