Uchina yafanya majaribio ya futuristic Transrapid Bus!

Uchina yafanya majaribio ya futuristic Transrapid Bus!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Wazo lao ni kama DART yetu sema tofauti ya kwao ni futuristic zaidi ni mradi wa kwanza wa aina yake Duniani, kwamba hilo basi linapita juu ya Magari mengine, video inaelezea zaidi!



bus02_1.jpg


bus0.jpg


bus01_1.jpg


aeb_1.jpg






 
Aisee kwa.madereva wa.bongo hao jamaa wanao pita chin ya bus lazma walete ajar
 
Safi sana wachina wako ahead saivi kwa almost kila kitu.
 
Back
Top Bottom