Ghost boss
Member
- May 3, 2019
- 33
- 57
Uchina nitaifa linalokuja kwa kasi duniani, nanaona linahitaji kutambulika kuwa ni taifa lenye uwezo kama yalivyo mataifa makubwa kama marekani, uingereza na urusi. Kwa namna China inavyoenenda juu ya covid-19 nanamna who inavyoiandama China juu ya kujua chanzo cha corona na mwisho who wanakuja na kauli kuwa covid-19 ni ugonjwa Wa virus vya kimaabara ambavyo vinahusishwa kutoka katika maabara za uchina, japo kuwa kumekuwa na nadharia nyingi zikisemwa ila binafsi naungana hapo na who kuwa uchina wanajua vizuri juu ya virusi vya korona napia namuunga mkono rais magufuli kwa asilimia Fulani anapokemea juu ya uvaaji Wa barakoa ambazo zinatoka nje ya nchi, namara nyingi barakoa zinazotoka nje ya nchi hutokea china na uingia nchini kwa njia ambazo zingine ni zamagendo hapo ndio hata Mimi huwa na mashaka sana na barakoa za nje ya nchi hazipiti zingine kukaguliwa na mamlaka husika huingia kimagendo na wanaoingiza ni wafanya biashara wasio waaminifu kwa taifa lao hivyo kuweka maisha ya wenzao kwenye tisho, kwenye hili jamani nashauri raisi angalau asikilizwe kuhusu matumizi ya barakoa za nje, uchina Mimi binafsi siwaamini kabisa maana MTU anayependa utajiri na nguvu sio wakuaminika kabisa maana anaweza kufanya jambo lolote ilimradi afikie malengo, hapo nyuma vifaa vya misaada vilivyotumwa na jackma kuja afrika vilipopimwa vilikutwa tayari na maambukizi ya ukovi19 kwaiyo basi tusemeje? China wanataka kuleta tatizo kubwa duniani na kisha kujikuza kiuchumi zaidi kutokea hapo, utashangaa marekani haikuwa na machine za kutosha za oxygen ila China walikuwa nazo na ikabidi mataifa yenyenguvu kuweka oda ya vifaa tiba uchina na tuliona nchi zenye nguvu zikilalamikiana kuwa mmoja amesomba vifaa tiba vyote ambavyo wao awali waliweka oda China. Utajiuliza mwenyewe inawezekanaje marekani, ujerumani, uingereza, ufaransa,Italia, urusi, na nchizingine kubwa duniani zinakosa eti vifaa tiba na kwenda kununua China, inamaana China walijiandaa kwa ilo na wao walikuwa na tatizo kama wenzao lakini ikawaje wao ndio watoe misaada na waiuzie dunia nzima vifaa tiba? China walitaka kuonyesha kwa uwazi wakijanja dunia kuwa nao wapo na kupitia hili Basi watanufaika pia kiuchumi kwa kuuza vifaa tiba na chanjo lakini Mimi ghost boss naamini kila tatizo linasolution yake nivile madaktari wetu wakiacha kujiona hawawezi Basi tutafanikiwa kutoka katikaili. NB; BARAKOA SHONA MWENYEWE TENA ZIWE ZA VITENGE VYA NDANI.