Uchimbaji mafuta Uganda wazua hofu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchimbaji mafuta Uganda wazua hofu.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by jamadari, Feb 19, 2010.

 1. jamadari

  jamadari JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2010
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 295
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Wasiwasi umeibuka kuhusu mipango ya makampuni ya mafuta ya Uingereza na Ireland kuchimba mafuta magharibi mwa Uganda.
  Wanaharakati wa mazingira nchini Uingereza, wamesema kuwa serikali za Uganda na Uingereza, zimeruhusu kandarasi za uchimbaji wa mafuta ambazo zinafaidi makampuni hayo bila kujali maslahi ya wakaazi wa maeneo hayo wanaoishi katika umaskini.

  Wanaharakati hao wa kikundi cha 'Platform' wanasema harakati za kutafuta mafuta nchini Uganda, huathiri mazingira.

  Hata hivyo makampuni hayo ya kigeni yamesisitiza kuwa yatajitahidi kulinda mazingira na yanaunga mkono usimamizi bora wa sekta ya kibinafsi.

  http://www.bbc.co.uk/swahili/news/story/2010/02/100217_uganda_mafuta.shtml
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...