donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,048
- 21,523
Huyo atakuwa mmasai,kama ni wa nyanda za juu,basi Mfipa wa Swanga
Salaam wakuu,
Nipo huku kawe ukwamani kuna mama mmoja anaitwa mama upinde hua jioni anauza uji mmoja wa ngano aisee ni matata sana ukiunywa huachi. Sasa nipo kwenye benchi na wazee fulani hapa sasa kuna jamaa amekuja ametuchekesha wote. Jamaa ana accent kama ya watu wa kule nyanda za juu amekaa kwenye benchi akasema,"mama upinde naomba uchi wa moto. Mama upinde acha aanze kummind jamaa anamdhalilisha kumbe jamaa matamshi ya J, G kwake yanampa shida kabisa hadi mzee mmoja ndio akamuamulia. Anyways, mi ndio namalizia kikombe changu cha tatu hapa nianze mdogo mdogo kwenda home. Jioni njema jamani!
Na mwingine alikuwa anapendelea sana kunywa uji mama mmoja maarufu kwa kuuza uji. Sasa siku moja akashindwa kujizuia ikabidi asifie biashara ya mama yule. Akaanza kumwaga sera asijue siku hyo mumewe naye yupo kijiweni. Akaropoka, "Uchi wa mama Asha mtamu sana"
Mwenye mke akaona jamaa tyr ameshaingia kisimani.
Watu walipoteana pale kijiweni
Utani na sisi mura..!? angaria sana fita hafina macho mura..
Akipewa uchi wa moto atajikojelea!!
Uchi wa baridi haupo lol
Utani na sisi mura..!? angaria sana fita hafina macho mura..
Acha hizo wewe, wafipa hatuna matamshi ya hivyo.Huyo atakuwa mmasai,kama ni wa nyanda za juu,basi Mfipa wa Swanga
Sumbawanga ndio inafupishwa hivyo.Swanga ni pande zp mkuu?
Acha hizo wewe, wafipa hatuna matamshi ya hivyo.
Ungeshangaa nini?Ningeshangaa aisee...!
Nimefungua kwa haraka nikadhani nakuta na kapicha.