Uchi wa mnyama mchana kweupeeeee

Uchi wa mnyama mchana kweupeeeee

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,007
Reaction score
168,596
Jamani hawa jamaa nimewapiga picha wakiwa uchi mchana kweupeeeee.
Niliogopa kuwasogelea maana nilihisi wana gonjwa la kutafuta mume.
Hebu waoneni, quality sio nzuri sana nilitumia simu kupiga picha. Mtambuzi hebu waangalie kwenye makablasha yako kisha tumwagie tabia zao.
maajabu.jpg
 
Last edited by a moderator:
Aisee! mkuu, ushaanza misuba? au umekosea ku edit picha? ha ha ha ha!!
 
Du
Buji[SUP]2 [/SUP]​una matatizo gani?
Unge edit picha kwa ku zoom hao watasha, mtu aweza kufikiri ni hao waswahili wawili.
Halafu picha unaisoma kwa kupinda singoo!
 
Maumivu ya kichwa huanza poolepole...!
 
Jamani hawa jamaa nimewapiga picha wakiwa uchi mchana kweupeeeee.
Niliogopa kuwasogelea maana nilihisi wana gonjwa la kutafuta mume.
Hebu waoneni, quality sio nzuri sana nilitumia simu kupiga picha. Mtambuzi hebu waangalie kwenye makablasha yako kisha tumwagie tabia zao.
Wewe mchana si ulionekana Buguruni?! .. anyway, huyo ndio Bujibuji bwana ... haishi vituko
.
 
KIRUUUUUUU,,,,KWELI JOTO LIMEZIDI!!!!!!!BUJIBUJI ungeedit hiyo Picha ili tuone vizuri aseeeee......
 
Back
Top Bottom