Mshanajr
Waapenda sana kutaabisha
Wataabisha wanajamvi wetu
Sababu za msingi hakuna
Kila ukija waja kimakinikia
Watesa bongo na oblangata
Mishipa ya fahamu yabuma
Kuwaza na kuwazua kitaani
Kupata maana na maanaye
Shida kung'amua barabara
Barabara ya weledini kwetu
Unataabisha jukwaa Mpare
Khaaaa
Bazazi ni Bazazi!