Swali langu naomba kujibiwa hivi nikivaa bukta bila ya shati nitakuwa uchi? Au shati pasipo kuvaa bukta? Nikivaa nguo mwili mzima je, nitakuwa bado nipo uchi?
Uchi wa moto ni uji wa moto. Ngariba haogopi mkojo kwenye uchi. Tukienda jandoni sikuzile tulitahiriwa uchi. Sasa mkuu, wechagua ni uchi gani unautaka wewe
Uchi wa moto ni uji wa moto.
Ngariba haogopi mkojo kwenye uchi.
Tukienda jandoni sikuzile tulitahiriwa uchi.
Sasa mkuu, wechagua ni uchi gani unautaka wewe
Nadhani hoja yako ina base kwenye picha zinazoitwa za uchi lakini ki msingi si za uchi
Ni sawa tu na wanasiasa kuita kukosolewa matusi lakini kimsingi si matusi