Ni vyema kujua changamoto za biashara yoyote kwa undani na namna ya kuzikabili. Moja wapo ni kama uliyosema. Ila kwa upande wa utapeli huwa inatokea kati ya patners, kuaminiana kupita kiasi. Vizur mkafanya kazi kimkataba na kuweka undugu au urafiki pembeni.
Wizi ndio changamoto kubwa. Hapo ndio unakutana na kitu kinaitwa Business secrecy kwa wajasiriamali lazima azingatie usiri katika biashara. Ndio maana serekali imekataza kusafirisha CARBON mkoa mmoja hadi mkoa mwingine.