Ucheleweshwaji wa matokeo chuo kikuu huria(OUT)

Ucheleweshwaji wa matokeo chuo kikuu huria(OUT)

Crystal field theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2014
Posts
951
Reaction score
412
Wadau wa elimu habari.

Chuo kikuu huria ni chuo kinachofanya vizuri katika taaluma mbalimbali hapa nchini nawapongeza katika hili.

Kero: Kumekuwa na upotevu wa mitihani ya wanafunzi na hata kupelekea wanafunzi kulipia gharama zakurudia mitihani baada ya mitihani hio kupotea, mbali na hapo ucheleweshwaji wa utoaji matokeo hasa kwa wanafunzi wanaotaka kuomba vyuo vingine hususani dirisha la uombaji vyuo vikuu msimu wa july hadi october.

Ombi letu: Tunaomba serikali itazame changamoto hii kwa ukaribu ili kuboresha mchakato wa ufundishaji na ujifunzaji
 
Back
Top Bottom