MAMMAMIA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 3,811
- 1,607
Katika jaduweli ifuatayo, yenye nambari 1-16, ukijumlisha nambari za mstari wowote, iwe chini kwende juu, kulia kushoto, pembe hadi pembe, upande wowote, unapata jawabu ya 34. Hata ukijumlisha nambari 4 za vyumba vya kati, (10,11,06,07) jawabu inakuwa hiyo hiyo.
| 16 | 03 | 02 | 13 |
| 05 | 10 | 11 | 08 |
| 09 | 06 | 07 | 12 |
| 04 | 15 | 14 | 01 |